Recent content by doctor mwanafunzi

  1. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji kwa wafanyakazi

    Hahahahha
  2. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji kwa wafanyakazi

    Mi nlishawahi kulipwa 4000 kwa shift halaf zipo mbili tu kwa wiki mbona sikumaliza hata mwezi wenyew
  3. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji kwa wafanyakazi

    serikali ingeweka mikakati ya kuzifuatilia taasisi binafsi hasa za afya ambazo zinafanya unyanyasaji kwa kutokuwalipa wafanyakazi mishahara yao kwa wakati, kuwalipa nusu nusu na wakati mwingine kutokulipwa kabisa. Nawakati mwingine ukifuatilia sana haki yako unaweza kutishiwa kufukuzwa...
  4. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania HOJA Makondakta wapewe elimu ya kujali wateja (customer care)

    VIjana hawana adabu kabisa
  5. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania HOJA Makondakta wapewe elimu ya kujali wateja (customer care)

    Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala 1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali kama wanaongea na mtu mzima au mtoto kazi yao ni kufoka tu hata ukidai chenji kitu ambacho ni haki...
  6. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Nimepata mpinzani kwenye biashara yangu mbinu gani niitumie kumu-overcome

    Cheza na saikolojia tuu furahi na wateja, wafanye wajusikie huru sana..maana kunawauzaji unaweza kwenda kununua kwao bidhaa wamenuna mpaka unagairi unarudi
  7. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video: Anayejiita Superwoman akamatwa na mihadarati nchini Oman

    Lazima tu watu wakuchunguze na ukamatwe huwezi kuwaambia watu unapesa nyingi halaf unadai ni kuuza mchicha then utegemee watu wakuache😂
  8. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
  9. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

    Unatakiwa uelewe kwanza mtu mpaka anaenda kufanyiwa surgery au upasuaji hiyo tayari ni complication....huku tunakitu kinaitwa management of the patient ambazo zipo options tatu kuu 1: non pharmacological management/ treatment 2: pharmacological treatment 3: surgery Na surgery yenyewe inategemea...
  10. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri

    Lakini hospitali zipo nyingi tu zenye huduma bora na zinazohudumia kwa uharaka kama hujaridhika na kituo fulani nivyema ukajaribu kituo kingine
  11. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri

    Soma content
  12. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri

    Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya kipimo cha sphymomanometer kinachutumika kupima presha ya damu. Hapo kwenye picha chini ni majibu ya...
  13. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

    4000 kwa siku sio pesa ndogo mkuu labda kwa sababu ni kwa siku ndo inaonekana ni ndogo Tuchukulie huyu mtu anafanya kazi siku sita jumatatu mpaka jumamosi maana yake anakula 24000tzs kwa wiki Zidisha 24000 mara 4 ni 96000/= kwa mwezi na kama kazi inafanyika mpaka jumapili maana yake ni 112000/=...
  14. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Sigara ni kero kwa wasiotumia

    Uvutaji wa sigara hadharani umekuwa kero kubwa sana mitaani na katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile vituo vya daladala na baadhi ya maduka ya rejareja. Ikumbukwe kuwa sigara ni hatari zaidi kwa asiyetumia (second-hand smoker), yaani yule ambaye ametulia zake mara ghafla moshi wa...
  15. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania KERO Vipaza Sauti vya Karume vimekuwa kero kwa kelele, Serikali ichukue hatua

    sahihi kabisa ila ule mlundikano wa watumiaji wa vipaza sauti sehemu moja ndo tatizo nmetoa mfano hapo ulipo washa redio kumi tu kila redio ipige station tofauti na uongeze sauti hadi mwisho. Ifikie kipindi tusitetee tuu turekebishe hao unaosema wanasaka tonge ndo wanasababisha wengine wakose...
Back
Top Bottom