Hairuhusiwi kuuza ticket ya mteja hata kama amechelewa cos ukataji unafanyika kwenye system na jina limeingizwa ....hata akichelewa ukitaka kuuza system haiwezi badilisha jina LA huyo mtu na labda wamsafirishe huyo MTU kwa jina LA mteja aliyechelewa kitu ambacho ni kosa kisheria ....na pesa...
Ndio ujiulize kwanini walimuacha ?! Ina maana uwanja hauna police na security ....jibu wapo wengi tuu ....lakini kosa lilikuwa LA shilika ndio maana hata police waliona ukakasi uingilia maana hata upende wao kulikuwa na kosa kubwa mno
Kwani uwanja hauna security ?! Si wangemdhibiti tuu cos kwa viwanja vikubwa vya tz kuna security wa kawaida na wanajeshi ambao hawavai sare pia na police so walishindwa kumdhibiti?! Hapo ndipo utakapojua kwamba shilika lilikuwa lina makosa kwa siku iyo
Na ww mbona umeongea kama wapanda mabasi tuu .... !! Kujua sheria ya aviation inahitaji elimu ya ziada ...kufika haijalishi ila inatakiwa kufika 40 min before departure kwa ndege za ndani ya nchi na counter inafunguliwa masaa mawili kabla ya departure so ndani ya masaa mawili hayo usije zigusa...
Kuchelewa hawakuambii no seat ....unaambiwa umechelewa na siti yako inabaki pale pale hata kama mteja mwingine atakuja cos ndege sio kama mabasi ni system inafungwa hawawezi ziuza tena zile za wazi ambao wamechelewa lakin wanafanya huu ujanjaujanja tuu....alafu huwajui vzur hili shilika kama...
Inawezekana upo sawa ....kwa nilivyomuelewa mondi ni kuwa alifika akaambiwa desk limefungwa I mean kachelewa flight ....na wakati akiendelea kukaa njee ndio aliona baadhi ya watu wanaingia ikiwemo hamornize sasa akapata shaka mbona mie nimeambia counter imefungwa ... Na kufunga counter sio kama...
Sio one hour bali ni 40 min before departure kwa ndege za ndani ya nchi haijalishi ni ndege gani ni sheria hiyo ya aviation...!! Na kwa ndege za kimataifa kwa one hour ni sawa
Bicarbonate soda ile ya maandazi ni dawa nzuri ya vidonda vya tumbo Mimi ilinisaidia na Niko vizuri kwa sasa. ....unaeka kijiko kimoja cha chai kwenye maji glass moja unakologa unakunywa asubuh kingine jioni kabla hujala chochote ikipita nusu SAA unakula chakula
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.