Recent content by dnmwami

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mzee Mandela hakuwa anaamini ile dhana inayosema kuchapiwa ni siri ya ndani?

    sasa alitaka amsubiri miaka 271!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Amesahau kusoma

    Kuna dada mmoja amepewa gazeti na mdogo wake akamjibu kwamba siku nyingi hajasoma gazeti amesahau kusoma. inawezekana hii kitu wanajamvi?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Chagua Scania 113/360, Scania 124/400 na Scania 124/420 ni LHD

    kaka iyo 113 for 55m kodi inalipwa na nani? nthen body zinapatikanaje?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Burundi zaidi ya 1,000 hawana pa kuishi

    Wakimbizi hao wamerudishwa toka Tanzania walikimbia mwaka 1973 na watoto wao walizaliwa tanzania! Burundi haiwatambui hawana ID za Burundi na TZ haiwatambui! Source Radio Burundi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bora ukosee kujenga nyumba kuliko ukosee kuoa/kuolewa

    Habari ndo iyo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwenda toilet kwa wanandoa.

    Thats why you call your self BACK! you deserve the name.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwenda toilet kwa wanandoa

    Wakuu habari Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwenda toilet kwa wanandoa.

    Wakuu habari Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wizi uwanja wa JK Nyerere Int. Airport

    Salut Ivi ni mimi nina bahati mbaya na hawa jamaa mana nimesafiri mara nyingi kwenda nje ya nchi lakini kila nikisafiri wana fungua begi na kuniibia! ni hali halisi hapo au ni mimi tu bahati mbaya zangu! last time wamevunja kufuli na kuchukua Saa!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Surveyed Plot For Sale

    kina hati? kama ina hati nicheki 0764863019
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    kumi na tatu unachukua tufanye biashara?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta archtecture

    Cheki na huyu Chris amenichorea na kusimamia nyumba zangu mbili nzuri sana 0713202055!
  13. D

    JamiiForums Tanzania mpenz kaniacha kisa sina hela

    Bora kakuambia mapema wenzio wanalizwa hivyo wako kwenye ndoa, piga chini kama unakifua!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja tegeta

    Salut Natafuta kiwanja Tegeta ukubwa at least 70*70 budget 30M! kiwe na hati.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete unatukera na Kampuni ya STRABAG, inatutia Umasikini... Magufuli kimyaaa!

    Unapoandika isue uwe na uhakika nayo! umeona mkataba wao kama wameambiwa wajenge iyo service Road? Hao jamaa ni wataalam na ndo wanaojenga barabara ya kahama hadi Burundi(more than a 1,000Km!) wana vifaa vya kisasa na wanatumia wataalam wa ndani au mpaka mjaziwe wachina ndo mfurahi?
Back
Top Bottom