Ifike wakati vijana tujitambue huyu Juliana anashindwa wapi kujua maana ya MAANDAMANO YA AMANI na anataka kutuaminisha kuwa kazi ya Jeshi la POLISI ni KUUA NA KUJERUHI waandamaniaji.! Hii ni fedheha km kuna watu bado hawajui kazi ya Jeshi la Polisi ni KUYALINDA MAANDAMANO HAYO ili yawe ya AMANI...
Mm hili linanitaiza kidogo pale CCM wanaposema msimamo wao ni Serikali 2 wakati ukirejea nyuma wakati wa uundwaji wa Mabaraza ya Kata na Wiliya wote mtakumbuka walikuwa na uwakilishi mkubwa sn zaidi ya 60% kiasi cha kulalamikiwa na vyama vya Upinzani.
Sasa km hoja ilikuwa hiyo walishindwaje...
Mi nadhani Kitila unahoja ya msingi lkn tatizo ni kuwa ukosoaji wako umeongezeka sn baada ya matatizo yako na Chadema lkn pia unaposema tutafute mbadala wa CCM na Chadema wakati kukiwa na fununu wa uanzishwaji wa Chama ambacho inaaminika kuwa ni cha Zitto na group lake ukiwemo wewe huoni km...
Nadhani hapa kuna umuhimu wa kujua Lugha ya Kingereza ili kukupa unafuu wa kusoma na kuchambua mambo yaletwayo Bungeni hasa Miswada maana huandikwa in a technical language na ni kwa Kingereza . Sasa km hujui Kingereza utasubiri tafsiri ya Kiswahili ambayo kuna baadhi ya maneno hukosa tafsiri...
Hope tunajua namna Buge la katiba litakavyokuwa na wajumbe wengi kutoka CCM hivyo wananchi wapenda Katiba Mpya tujiandae katika kupiga kura ya maoni ili tuiangushe km itakuwa imechakachuliwa kinyume na maoni yetu.!
Hili suala la kubadilishwa viti ndg linafanyika ili kuweza kuweka viti vingi zaidi ya vilivyopo kwa lengo la kubeba wajumbe wengi. Hivi vilivyomo vimewekwa mbalimbali hivyo uwezekano wa kutosheleza wabunge wa bunge la katiba ambao ni wengi zaidi kiasi kwamba wasingeenea mle. Ahsante.
Mkuu jaribu kuwa na uvumilivu wa kisiasa kwani Bungeni CCM walitumia wingi wao kudhoofisha hoja ya Wapinzani na kuna wananchi wanahamu ya kujua ni hoja zipi hasa hawa Mbowe, Lipumba na Mbatia pamoja na hao washirika wao km ulivyowaorodhesha wanataka kuueleza Umma wa Watanzania..! Tuwaache waseme...
Hii inanipa shida sn kuamini hata hao wajumbe wa Bunge la Katiba watakaoteuliwa na Rais km mswada unavyoelekeza na ndo miongoni mwa malalamiko ya wapinzani km watashiriki Bunge hilo kwa mawazo yao huru au Nape anataka tuamini kuwa watafuata maelekezo ya Rais kwani atakuwa amewachagua...
Katika hali ya kawaida chini ya mfumo mmoja watanzania wengi walijikuta wakiipokea Ccm. Lakini kwenye mfumo wa vyama vingi lazima utarajie wapeda haki na usawa walokuwa wamebanwa na mfumo wa chama kimoja wakitoka na kutafuta vyama mbadala vyenye sera na milengo madhubuti kwao. Vivyo hivyo kuna...
No evidence no right to say....! Kuna manung'uniko Jimboni kwake yapi yataje basi ili tuchangie na utakuwa umemsaidia Mh. kujua ni wapi wananchi wanatatizo naye...
Sasa mara anapendwa mara atapigwa chini which is which...?
Weka vitu km Great thinker na cyo brabraaaa...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.