Recent content by DMV

  1. D

    Mwana diaspora kutoka Marekani, John Mashaka ni mfano wa kuigwa

    John Mashaka Foundation The John Mashaka Foundation - fighting for the common good of man
  2. D

    Mwana diaspora kutoka Marekani, John Mashaka ni mfano wa kuigwa

    Taasisi ya John Mashaka Foundation pamoja na American Engineering Group (AEG) hatimaye imeweza kuwasaidia wanakijiji 3,500 katika kijiji cha Manila wilayani Rorya kupata maji safi na salama.Mradi huu umegharamu kiasi cha Shilling Billion moja. Kabla ya huu mradi wananchi wa hiki kijiji walikuwa...
  3. D

    Sherehe za Muungano USA: Ubalozi waitenga Zanzibar, kosa letu ni kuhudhuria mkutano wa Jussa

    SHEREHE ZA MUUNGANO USA: UBALOZI WAITENGA ZANZIBAR, KOSA LETU NI KUHUDHURIA MKUTANO WA JUSSA Wanzazibar tumetengwa sherehe za muungano na ubalozi kwa kuto husishwa jumuia yetu , ZADIA. Ubalozi umewaalika watu wa CCM na kufanya taratibu hizi za muungano kichama zaidi. Inasemekana watu wote...
  4. D

    Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Nitamwaga siri zote muda siyo mrefu. Hawa wasaliti wameniboa sana jana. Namwaga siri
  5. D

    Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet

    Hasheem, pole bro. Karibu sana ujiunge na ACT chama cha ukweli
  6. D

    January Makamba yupo nyuma ya MB 8

    January Makamba yupo nyuma ya MB 8 Ni mpango ulio sukwa nginganginga ili kuwafungia vijana (wanafunzi wa secondary na vyuo) kufanya mawasiliano ya kupashana na kubadirishana mawazo juu ya mstakabali wa nchi yetu na uchaguzi mkuu. Lengo ni kuwafanya vijana hawa washindwe kumudu gharama za kuwa...
  7. D

    Mtanzania mbaroni kwa kuingiza madawa ya kulevya (heroin) marekani kutoka tanzania

    Government: International drug ring smuggled heroin to Muskegon from Tanzania; suspect charged MUSKEGON, MI – An Illinois man faces federal felony charges for allegedly being part of an international conspiracy to smuggle heroin to Muskegon from Tanzania. The alleged conspiracy included heroin...
  8. D

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    chezeya kuruka first class. Sasa sijui ataweza kukaa Economy, Aisee Tanzania ina mambo kweli
  9. D

    Hii ya Juma Pinto Inatisha

    Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwanamke fulani kwa dakika kama 5. Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine. Juma akarudi nyuma, akaendelea na...
  10. D

    Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

    Call Spade a Sapde. Muuza sembe anaingizwa kwenye bodi kama hii?
  11. D

    Blogger apewa kipondo

    Huyu anapenda sana kurekodi watu. Hata email zako na text anaweka kukuchafualia, anakurekodi hata ukiingia naye chumbani alivyomrekodi Lemutuz akichezea bamia yake kwenye Sype !
  12. D

    Blogger apewa kipondo

    Bora tu wasimuumize maana yule akipelekwa hospitali hashoneki. Mwili wake umeongua na mkorogo. Aisee amekuwa mzungu pori, mkorogo hatareeeeee Mwangalie vidole, utafikiri wabeba moto na mikono wakisokota bange. Magoti na vidole vyeusi ti wakati uso utafiki ngedere. Na apigwe tu, au Team Mbuta...
  13. D

    Blogger apewa kipondo

    Bora amekula kipigo. huyu mwanamke ni noma kwa umbea. Linapenda sana kurekodi watu. Alisema alivyomrekodi Lemutuz akipiga punyento kwenye Skype. Nyambaf,
  14. D

    Wawekezaji Wanakimbia Ushuru. Serikali Mpo !!!!!!

    Wakuu hali nchini kwetu inatisha. Kuna mwekezaji ambaye ni Mwingereza, amefungua ofisi maeneo ya Masaki. Baada ya kukodi ofisi, TRA walimfuata alimpe Ushuru kabla ya kuanza kazi na hii ikawa ni kama Millioni 1.2 corporate tax. Akalipa, baada ya muda mfupi, mwekezaji huyu akatuma vifaa vyake...
  15. D

    Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwa Wananchi

    CCM na ACT ni vyama mfu !
Back
Top Bottom