Kiwanja kipo madale kwa kawawa,Unaingilia Tegeta Kibaoni, ni umbali wa kilomita zisizo pungua 7KM toka barabarani mpka kiwanja kilipo, kuna makazi ya watu tayari huko wamejenga tu, kiwanja ni nyaraka za Serikali za Mitaa hakina Shida kabisa, Gari ya aina yoyote inafika mpka hapo kiwanja kilipo...