Recent content by DMmasi

  1. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Jamii imara hujengwa kupitia biashara za kurithishana, familia ilio stable na elimu inayokidhi uvumbuzi na ugunduzi. Jamii bora haijengwi kwa dini

    unapata mtu mnaendana ila mnashindwa kwenda sababu ya dini familia ikizingatiwa na kutumika kama chuo cha kwanza cha maisha tutafika mbali
  2. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Mtumishi ukishindwa kuyaishi uliyokuwa unafundisha ni heri kukaa kimya kuliko kuanza kuyapotosha mwenyewe

    wahenga walikaa kwenye kona wakausoma mchezo weeeh alafu wakakatiza wamefunga msuli wakaandika ukutani "mfa maji haachi kutapatapa" kisha kwenye kona wakalala 120
  3. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Mjomba Mrisho Mpoto alikuwa mbele ya muda

    mchelea haki hatendi ukweli mjomba apo mbele akaongelea watu kujilimbikizia mali
  4. DMmasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Sioni sababu watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara

    lile kombe la kufunika saivi ndolinatakiwa lipite mwanaharamu afunikwe
  5. DMmasi

    JamiiForums Tanzania IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

    wanatubu
  6. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Diplomasia, Mikataba na Uhalisia wa Siasa za Tanzania

    hata uliyoyasema kwenye Para ya tano kuhusu vijana kuelekeza nguvu kwenye mambo mengine na kwenyewe sio parahisi sababu ya mfumo uliochacha
  7. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Kuongea kwa kuchanganya lugha kiswahili na Kiingereza, ni usomi au ujanja?

    hii "Actually" bukoba wameilipia kabisa wanaimiliki
  8. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi DUWASA(Dodoma): Kama umechimba kisima tumia na familia yako usiwape wengine, haturuhusu wenye visima kusambaza maji kwa wananchi

    nipeni mawe alafu rudini nyuma haiwezekani unakomalia kukataza tu haiwezekani unawaza mabaya tuu muda wote niliokaa dodoma kwa kiwango kikubwa sana maji niliotumia ni yakisima na sijafa
  9. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

    Majina yenye asili ya kwetu ni yapi au ni haya ya Adabu, Tabu, Vumilia, Sikujua, Majaliwa, Mapinduzi
  10. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kulea watu na baadae kuwapa uongozi kwa vigezo vya "tunamjua na kumuamini" ndiyo shida kubwa inayotukabili kama Taifa

    wanalea watu wakulinda walivyokwisha kukwapua na kukwapua vingine
  11. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna timu ilichimba nyasi uwanja wa Mkapa, ikaweka Dawa na kusababisha fangasi kisa ushirikina

    wafanya hiphop hatununui maneno yakutufuraisha tuu inatakiwa timu itajwe na iwajibishwe
  12. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    inauma sana tunazikana tukiwa wadogo nikima ajali za pikipiki zimezoeleka lakini haziondoi uhalisia na maumivu ya kumkosa mtu daima yani chini ya miaka 25 niwengi wanaondoka na ajali za hizi pikipiki. Uporaji kunakipindi ulipungua ila kwasasa sijui huu wakuuwa umeanzaje tena, kuna wengine...
  13. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa!

    kweli kabisa
  14. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    pole sana mkuu Japo wanasema ajali hubeba hadi mwenye tahadhari lakini Dar hadi rombo kwa bike ni hatari. Tukiwa vijiweni tukumbushane kuchukua tahadhari
  15. DMmasi

    JamiiForums Tanzania KERO KERO YA Uhamisho kwa Watumishi wa Umma Mkoani Mwanza

    Hili lipo sehemu nyingi endelea kufatilia na dua nyingi sana
Back
Top Bottom