Recent content by dmketo

  1. dmketo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Wapo Wapo wengi sana lakini kuna wakati mazingira yanawafanya washindwe kuonesha uwezo wao vyema. Amini watu wengi wazuri waliopo kwenye utumishi wa umma kadri siku zinavyokwenda ule ubora wao unapungua nadhani mazingira ya utumishi hayahamasishi sana watu kutumia au kukuza talanta zao na...
  2. dmketo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Nadhani kikubwa toboreshe mifumo yetu ya elimu ili tukiwa na wataalamu wa eneo fulani, basi wawe watu mahiri kweli kweli. Lakini pia Serikali nadhani iweke mfumo mzuri wa kutafuta vipaji kwa ajiri ya kutumika kwenye utumishi wa umma. Tukiona eneo fulani la utumishi wa umma kuna mapungufu ya...
  3. dmketo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la Mke wangu la mfumo wa Mkojo lililodumu Miezi 7

    Ni kitengo cha mkojo, sikumbuki jina la daktari.
  4. dmketo

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya madola (common wealth) yatoa msimamo kuhusu Tanzania

    Hawa jamaa nao ni waomba Mungu tu. Kila siku na vitamko vyao visivyo na maana. Kama kuna kitu cha kufanya si mfanye tu sio kuendelea kutisha watu wasiotishika kwa maneno matupu yasiyoweza ata kuvunja ubua
  5. dmketo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la Mke wangu la mfumo wa Mkojo lililodumu Miezi 7

    Nashukuru mkuu, anarndelea vizuri. Nilirudi BMH akarndelea na matibabu. Kuna nafuu kubwa sana ingawa bado hajapona kwa %100 lakini kuna afadhali kubwa kulinganisha na hali yake ya kwanza.
  6. dmketo

    JamiiForums Tanzania Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Nionavyo mimi kuliko kuifuta CHADEMA ni bora uue watu wote ubaki peke yako tu. Sababu upinzani unatokana na watu kutofautiana mawazo au itikadi, popote kwenye mtu zaidi ya mmoja lazima upinzani utatokea tu. Ata leo ukifuta vyama vyote ukabaki na kimoja, humo humo wataibuka upinzani miongoni mwenu.
  7. dmketo

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Mastermind wa mauaji kapigwa pin kuingia Ulaya

    Naomba mtu anieleweshe taratibu kabisa, naonaga mara fulani kafungiwa adiingie Marekani, mara fulani Ulaya n.k. Hivi, kwa kufungiwa kwenda huko mtu anakuwa amepoteza kitu gani kikubwa? Je, hawa watu hawawezi kufurahia maisha mpaka waende hizo nchi?
  8. dmketo

    JamiiForums Tanzania Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

    Nimefuatilia kiasi siasa za Mh. Katambi, namuona ni mwanasiasa anayependa sana kutumia ubabe kwenye mambo yake. Nadhani walio karibu nae wamsaidie kumshauri abadili mfumo wa siasa zake kwani ye ni kijana na ana safari ndefu kwenye siasa. Unapokuwa kiongozi unakuwa umepewa dhamana ya kuwa mbele...
  9. dmketo

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Soka letu, kivyetu vyetu
  10. dmketo

    JamiiForums Tanzania Wazee mnaonaje Katuga anavyogongwa na NGULI kwenye vijiswali vyake?

    Soka la Tanzania bwana, yaani TFF na Simba ni kitu kimoja, maskini Yanga pamoja na usajiri mzuri, anacheza vizuri lakini mwishowe simba watapewa penati na upendeleo wa kila aina tena wa waziwazi kabisa mpaka achukue ndoo.
  11. dmketo

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi: Kombe la Ngao ya Jamii 2025 limeibwa wakati tunasherehekea parade

    Hii wiki inaweza kuwa na mambo makubwa sana hapa nchini kwetu sio bure. Kule baadhi ya wanachama wanataka kufanya mapinduzi na huku kwingine kombe limeibiwa. Muda ni mwalimu mzuri, tumpe nafasi.
  12. dmketo

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Tatizo haya matimu yamekuwa part n' parcel ya vyama vya siasa. Ifike sehemu wanasiasa wabaki huko kwenye siasa na mpira uachwe kwa watu wa mpira.
  13. dmketo

    JamiiForums Tanzania Maharage bora yanapatikana – Tsh. 2,800 kwa kilo (Kuanzia Kg 20), Tupo Mbezi Louis

    Je, unatafuta maharage safi yenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani au biashara? Tunauza maharage bora kwa bei nzuri ya TSh 2,800 kwa kilo, kwa ununuzi wa kuanzia kilo 20 na kuendelea. Kwa sasa tuna maharage ya njano na soya, lakini ukitaka rose coco na mengine tunaweza kukuletea...
  14. dmketo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la Mke wangu la mfumo wa Mkojo lililodumu Miezi 7

    Kote nimesharudi lakini hakukuwa na suluhisho la kudumu. Sehemu pekee ambayo natakiwa kurudi baada ya wiki 2 zijazo ni Ben Mkapa Dom. Nimebeba ushauri wako, najipanga kuona namna naweza ufanyia kazi.
Back
Top Bottom