Tatizo ni kwamba hafuati muda wa kupata milo kwa utaratibu kiasi cha tumbo lake kipindi kingine kujaa gesi hivyo mshauri ajiwekee muda maalum wa kunywa chai asubuhi chakula cha mchana na chakula cha jioni, anywe maji ya kutosha pia ale kiasi na jioni apate chakula laini!
Nadhani Dr. Silaha ni Mzalendo tu! kiasi ambacho sote tunapaswa kuwa!
Hii ni nchi yetu wenyewe ambayo mwenyezi Mungu ametujalia kuzaliwa kwayo hivyo hatunabudi kwanza kujiendeleza kielimu ili tuweze kuijenga nchi yetu wenyewe kwa kutumia maliasili tuliojaliwa na Mwenzi Mungu.
"Human Resource...
Ni jambo la kusikitisha na kustaajabisha sana! sijui jamii hii inaelekea wapi maana hata wanyama wasio na akili wala utashi hawatendi hivyo! nadhani ni muda muafaka wakuweka maombi maalum kwa ajili ya jamii nzima ili iweze kumrudia Mwenyezi Mungu ipate kumpenda, kumtii na kumtumikia hizi zote ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.