Ngoja namimi nikusifie, maana ushasema angekuwa mkaka ungempa namba yako ya simu... We mdada unangozi nzuri, shingo ya kuvalia cheni, tabasam maashallah.. kweli Mungu kakuumba
Nimepigiwa simu saa 10 alfajir nikapewa hizo taarifa. Nikajaribu kulazimisha akili yangu kuamini ila haya maswali yakawa yananipa mashaka!
1. Ushahidi kuhusu huyo mtoto uko wapi? Kazaliwa hospital gan n.k
2. Kifo kapanga Mungu na hatofikiwa mja na umauti mpaka ifike siku yake hivyo hao wadudu...
Kumbe wanawake ndo wanaweza kukushishika na kuzama chumvini vizuri sio?
Alafu ninimashaka na jinsia yako mkuu, Kuna siku ulileta uzi wa kulaumu wanawake na uliandika kama vile wewe ni mwanaume..
Nipe namba za huyo wa Uhamiaji, nashida ya kwenda nje naeza fanya nae dili ili aongeze pesa usimulie zaid maisha yake mazuri
-Ila hatujui wewe maisha yako yakoje na vp ushaoa?
First mimi ni Muislam, then ktk mazishi ya Marhum baba yangu mzazi niliingia kaburin kama ambavyo unasema masheikh wanaingia hakuna alieingia na kisu,nyembe hata sindano istoshe waliniambia nivue na saa maana ilikuwa ya chuma huenda ingekatika ikaangukia humo, so suala la kukata nyama shortly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.