Recent content by DKT SALLA

  1. D

    Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    Cha Kwanza Je Wananchi wanataka Muungano au hawataki?
  2. D

    Serikali itoe tamko au kuwaomba radhi wa Tanzania...kuhusu uombaji wa Mikopo Online

    Jamani nashukuru kwa kuisikia kero hii hapa kwenye mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums sasa nitafuatilia na ninaahidi kutoa majibu ya Jambo hili kwa umma mara baada ya kufuatilia na kimsingi tatizo litapata ufumbuzi kabla ya siku ya mwisho kuisha ya kutuma hayo maombi ya Mkopo kwa njia ya Mtandao...
  3. D

    Tafakuri Tundulizi Juu ya Mchakato wa Katiba Mpya na Ndg Donati Salla

    Ndugu zangu watanzania napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wamiliki wa "Jamii Forums" kwa jinsi walivyoona fursa ya kutuletea mtandao ambao tunautumia kuwasiliana, kubadilishana mawazo na kutoa mawazo mbalimbali kwa ajili ya maslahi ya jamii yetu na taifa la Tanzania kwa ujumla. Ninashauri...
  4. D

    Kwa rasimu hii, CCM inakufa

    Chama kina utaratibu wa kukua na kubadilisha mifumo yake inayotumika katika kujiendesha lakini kwa sasa pamoja na kele zote hizi za upinzani bado CCM ni imara labda huko baadae.
  5. D

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Stella Maris Mtwara University College (Tawi la Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Agustino - Tanzania.
  6. D

    Hizi tetesi za kinana yupo kenya ni za kipuuzi

    Jamani tusishindane sana hapa kwa sababu upinzani sio kupinga kila kitu. Mtu akienda mahali kwa shughuli zake mwenyewe sio tatizo ilimradi tu kule alikoenda asije akafanya mambo ambayo yanaweza kulidhalilisha taifa letu. Pili Kuiba kura Kenya ni vigumu kwa sababu wakenya wapo macho kama...
  7. D

    Vacancies for Volunteerism in Doli Foundation.

    Mimi ninamuamini sana anayeweka matangazo kwenye blogu yetu kwani anafahamu kiingereza kwa usahihi Mkubwa labda tu uhariri wa habari kabla ya kuchapisha ni jambo la msingi naomba utuvumilie tutajirekebisha. Asante Sana
  8. D

    Vacancies for Volunteerism in Doli Foundation.

    visit to Http://www.dolifoundation.blogspot.com and see the volunteerism opportunities to apply!
Back
Top Bottom