Recent content by dketikai

  1. dketikai

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa bar anahitajika

    Maji ya Chai Arusha 0763759391. Jinsia ya Ke
  2. dketikai

    JamiiForums Tanzania Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

    Kuna Grocery ipo maji ya chai arusha anatakiwa mfanyakazi wa kike. Namba 0763759391
  3. dketikai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifurahii Kusex na Mke wangu

  4. dketikai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo karatu dc nije meru dc idara ya sekondari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dketikai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Karatu nije Meru Dc idara ya sekondari.
  6. dketikai

    JamiiForums Tanzania Nina Bachelor of Arts with Education, natafuta kazi ya kufundisha

    Pia weka na masomo mengine unayoweza kufundisha ili upate msaada chap kama civics,general studies,geography. Wenzetu nchi jirani mtu mmoja anafundisha kila somo japo huo sasa ni usanii.
  7. dketikai

    JamiiForums Tanzania Sevarance pay vs gratuity njia panda

    Thanks mkuu kwa maelezo yaliyojitosheleza.
  8. dketikai

    JamiiForums Tanzania Sevarance pay vs gratuity njia panda

    Nashukuru kwa nchango wako wa mawazo. Nimeelewa kabisa
  9. dketikai

    JamiiForums Tanzania Sevarance pay vs gratuity njia panda

    Shukrani nimeelewa vema
  10. dketikai

    JamiiForums Tanzania Sevarance pay vs gratuity njia panda

    Kumetokea mkanganyiko sehemu ya kazi ambapo imebidi nije na uzi huu. Kwa kawaida sehemu hii ya kazi kuna neno gratuity hutumiwa kuwa utalipwa baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili yenye mkataba wa mwaka mmoja moja,kwa hiyo ukifikisha miaka miwili unalipwa. Ila mwaka jana kama kawaida...
  11. dketikai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara:sekondari.
  12. dketikai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Karatu nije Meru au Arusha DC.
  13. dketikai

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Ni swali kidogo. Mfano ulipewa mkataba mwenye gratuity baada ya miaka miwili. Ila mkataba huo kila mwaka ukiisha unasaini upya. Mwaka mmoja ukaisha vema. Mwaka wa pili unataka usaini gafla kipengele kimeondolewa. Je kuna haki yoyote muajiriwa anaweza kupata hapa?
  14. dketikai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimejijua kuwa sina kibamia

    .hawa viumbe tumia akili zote ulizonazo changanya na ziada ongezea na zilizoko karibu karibu ndio utawaelewa. Kwa kifupi umeingizwa mjini.
  15. dketikai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Telbox Tanzania hii ni ya kweli au ndio nimetapeliwa

    Hakuna issue kama hii mkuu. Temana nayo.
Back
Top Bottom