Recent content by dkanyu

  1. dkanyu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa wale wanaotaka kuja Msanzi Kalambo, ni barabarani kuna kilimo na ufugaji wananchi wako vizuri watumishi wametoka kimaisha hapa na wamejenga asilimia 89% Mimi nije Sumbawanga manispaa hata kama upo shule za pembezoni nitafute kwa no. 0627472757
  2. dkanyu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja Kalambo Matai Mjini Mimi niende Sumbawanga manispaa, idara msingi aje hapa hata kama yuko kijijini aje tubadirishane 0627472757
  3. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania

    Poa
  4. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania

    Kuna jamaa yangu alimaliza course work muda mrefu akafanya research yake yaani dissertation akakusanya lakini sasa ni mwaka wa tano hajagraduate masters yake, hii inanipa wasiwasi chuo hiki kikawa na usumbufu kama vyuo tulivyovizoea. Naomba unihakikishie ili ninapoanza nisije jutia maamuzi yangu...
  5. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania

    Habari za leo vipi kuhusiana na research kwa postgraduate degree (masters) hawasubui kama vyuo vingine vyenye majina makubwa?
  6. dkanyu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Rukwa hauji?
  7. dkanyu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kalambo Rukwa nije Sumbawanga mjini au Kasulu mjini Kigoma. Idara Msingi 0758882251
  8. dkanyu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kalambo Rukwa nije Sumbawanga mjini au Kasulu mjini Kigoma. Idara Msingi 0758882251
  9. dkanyu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mna tatizo gani?

    Alisoma GS advance?
  10. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NECTA

    Hapana haiwezekani!!!
  11. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Msaada mawazo kwa walimu au wasio walimu hasa walioajoriwa

    Naona umeshindwa kutumia elimu uliyoipata kutatua changamoto yako, tumia taaluna yako kufanikisha malengo yako Acha kutumia nguvu. Mbinu ulizotumia kwenda kuongeza ujuzi wa kitaaluma ukusaidie pia kuouhamisha ama kutengeneza mazingira mazuri ya kukaa na familia yako. Sent using Jamii Forums...
  12. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

    Ndugu YANGU nakubaliana na wewe umewaza vizuri, Jambo lingine ili uweze kutambua elimu ya UDOM kasome pale au mdogo wako asome pale utapata la kusema Kwa jamii Sent using Jamii Forums mobile app
  13. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Ndiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Haiwezekani karudie mtihani au tumia cheti cha kidato cha nne kusoma cheti kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  15. dkanyu

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

    UDOM ni chuo bora Kwa facilities za college of informatics lakini ni college complicated hakuna bata watu wanadisco wakifika hata Mwaka wa nne lakini juu ya ma lecture wetu katika college hiyo siyo zao la UDSM wengi ni Drs. From India. Kasome hapo Havard of Africa and The big University East and...
Back
Top Bottom