Recent content by djacko widodo

  1. D

    Nimemtoa out kaja na marafiki zake watatu

    Haaa!sipati picha msala uliowaachia uko nyuma.
  2. D

    Huyu roomate vipi?

    Ivyo vitu tumeshaexprience,anachojaribu jamaa n kumuweka karibu tu na s vinginevyo.Demu wa rafiki yako/roomate ni rafiki yako pia,pia majamaa ni wa kuwaheshimu kwa sababu ni ndugu zako kwa kipindi hiki hata future.wengi wamepata kazi kupitia michongo ya wanafunzi wenzao,komaa na shule kaka.
  3. D

    Wachapana makonde kisa mke wangu

    Huyu jamaa lazima atamsamehe mke wake;kwa mujibu wa maelezo yake.
  4. D

    Fursa jijini Mombasa

    Ubarikiwe..kwa capital ya 1m naweza leta biashara gani?email. Matwengo@gmail.com
  5. D

    Fursa kwa walio Lindi

    Ok..niko lindi,nitafute kwa barua pepe (matwengo@gmail.com)nitakuunganisha na baadhi ya vijana wenye weledi na kazi.
Back
Top Bottom