Recent content by DJ SEPETU

  1. DJ SEPETU

    Msaada, jino lineotea juu

    Mtoto jino limeotea juu hivi wataalamu wa afya nishaurini cha kufanya
  2. DJ SEPETU

    Je, mpaka wa Tanzania na Uganda umefunguliwa?

    Kwa anayejua kama mpaka wa Tanzania na Uganda kama umefunguliwa na ikiwa shughuli zimerudi kama zamani. Nina safari ya muhimu huko
  3. DJ SEPETU

    Umewahi kuweka akiba kwenye kibubu

    Kivipi nikute elfu 2 wakati naweka elf 5 kwa siku
  4. DJ SEPETU

    Umewahi kuweka akiba kwenye kibubu

    Nitajaribu ila makato
  5. DJ SEPETU

    Athari za kubeti

    Nakupenda shunie na nimekumisi kweli mrembo
  6. DJ SEPETU

    Umewahi kuweka akiba kwenye kibubu

    Kila nikijaribu huwa nashindwa Navunja Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku. Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia kumbuka una kibubu. Kama uliwahi Fanya hii kitu uliwezaje kufikia lengo bila kukivunja.
  7. DJ SEPETU

    Ambao hatujawahi kulamba watoto wakali tukutane hapa

    Utapoteza pesa nyingi ukitafuta wanawake ila huwezi poteza wanawake ukitafuta pesa
  8. DJ SEPETU

    Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

    Hahahaaa uko vizuri,maana nilijua show zetu zile
Back
Top Bottom