Recent content by DJ NYUKI

  1. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    Wana jibembeleza kwa mkuu.!![emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amjia juu Julius Mtatiro kutumika kuivuruga CUF

    Sasa lipumba wa nini kwa sasa? Wakati alisema anataka kuwa mwanachama wa kawaida?[emoji14] [emoji57]
  3. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Sijui atasema tena katiba pendekezwa Haifa!
  4. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipokuwa makini jamii itawachoka

    [emoji111] viva
  5. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Kama chenge hata fungwa basi hiyo mahakama siyo huru!
  6. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM, hamkuona zaidi ya Chenge au mlipoteza fahamu?

    Yule nyoka wa makengeza (chenge) inaonekana ni MTU hatari sana kwenye hii nchi.
  7. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni tena, ni baada ya kunyimwa nafasi ya Muongozo

    Poa nilitaka kujua.
  8. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni tena, ni baada ya kunyimwa nafasi ya Muongozo

    Zitto naye katoka?
  9. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Akitangaza matokeo hayo mkurugenzi Wa manspaa ya iringa. Msigwa wa chadema kapata kura 43,154 huku mwakalebela Wa ccm akipata kura 32,406 akifuatiwa na chiku abwao Wa Act akipata kura 411.
  10. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Mwenge umebaki Wa viongozi!
  11. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    TBC na star TV wataonesha
  12. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Magufuli avunja rekodi kunadi sera kwa masaa 109, afuatiwa na Mghwira,Rungwe,Lyimo na Lowassa

    Hahaha haaa unichekesha mkuu.!
  13. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Orijino Komedi wanapokashifu afya ya Lowassa, wamesahau ya mwenzao VENGU?

    Wamesahau kabisa!
  14. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Hoja za kutujibu Rais Kikwete kabla ya kuondoka madarakani

    Ndugu Wa na JF Nimeona nijikite kwenye mambo ambayo mh. Jakaya Mrisho Kikwete inabidi kabla ya kuondoka madarakani atuambie wananchi kuwa alifikiwa... (1) Dhana ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA iliishia wapi? Mbona watanzania bado hali ngumu! (2) Alituambia kuwa anawajua watu wanaouza na...
  15. DJ NYUKI

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Siyo propaganda ni ukweli huo!
Back
Top Bottom