Recent content by Dj-kobo

  1. D

    JamiiForums Tanzania ITV na Radio One yawatema watangazaji watatu akiwemo Ufoo Saro

    Waende Azam media
  2. D

    JamiiForums Tanzania CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

    Crtv nayo ipo kwenye king'amuzi cha Azam? Maana KBC quality yake sio nzur sana
  3. D

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Azam Media tuleteeni mbadala wa TV1

    Umenena vyema mkuu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Azam Media tuleteeni mbadala wa TV1

    Just imagine ndo umetoka kulipia muda si mrefu ili hapo baadae umwangalie C7 na Sanchez afu unajulishwa kuwa TV1 imekwishaondolewa kwenye king'amuzi cha Azam
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

    Wameitoa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Azam Media tuleteeni mbadala wa TV1

    Tunaomba chaneli mbadala ya TV1.Ikumbukwe kuwa Tv1 ilikua inyaonesha mashindano ya FIFA confideration Cup lkn kwa sasa hii chaneli haipo kwenye king'amuzi cha Azam na leo ni nusu fainali ya kwanza SAA tatu kamili Portugal vs Chile.
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

    Tunaomba mtuletee chaneli mbadala wa TV1.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Vyombo vya habari vimemuona Bashite tu vyeti feki? Zitto Kabwe hafai Urais TFF

    Mwandishi maarufu nchini Tanzania Jerry murro amesema Zitto kabwe hafai kuwa rais wa TFF kwasababu ni mbinafsi na mtu wa kimaslahi zaidi.Jerry ameyasema hayo ktk Kipindi za 360 kinachorushwa na clouds TV. Sanjari na hilo Jerry amesema jimbo la ubongo linaitaji kiongozi mwenye vision ili...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    #bado tuna nafasi ya kutorudia kosa##@2020
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Hata Mimi miaka kadhaa iliyopita ,boss wetu was samrt sana,yaan he didn't believe ktka vyeti, alimini what do u have yaan unawezo gani,creative gani ktk kazi.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Hahaha haha mkuu umeua kila kitu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Bila shaka ruge amekusikia mkuu maana clouds ni redio ya watu na watu wametoa maoni kama yako.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Kwa TV zinazofanya vizuri currently nadhan azamtv ,ITV and clouds respectively.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Sera ya clouds media ni kwamba wanaajira watu wenye vipaji na ujuzi wa hali ya juu ,na sio kuangalia vyeti vyenye GPA nzuri.na kwel wanatangazaji wengi wa clouds media sio professional ila wana vipaji tu.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Kwakwel katika hili,TBC lazma wajipange upya maana rais inaonekana anaiman na TV ya mtu binafsi kuliko TV ya taifa.
Back
Top Bottom