Recent content by DJ Imma

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta 'Love partner'

    Habari za jukwaani, NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano, Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa Rangi...! Naomba Kwa aliye muelewa na aliye tayari aje PM tufahamiane zaidi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naomba anayefahamu napoweza kupata tshert, Jeans na viatu Kwa bei ya Jumla nzurii, yale machimbo ya bei rahisi kabisa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wana JF njooni mnipe ushauri naangamia

    Mwambie Mume wake
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitafakari sana

    Ha aahhh, hichi cha low bajet tuacheni ujingaaa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitafakari sana

    Unatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu?? Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar: Uber 20,000 kwenda na kurudi Chakula 30,000 siku mbili Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana Hotel 60,000 za bei rahis siku 2 Akiondoka unampa hata...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Hakuna mtu anayenunua gari bila kukagua na kuielewa mkuuu, hivi unajua kuna gari number C ipo Bora kuliko number D au wewe huwa unanunua gari Kwa number sio ubora na uzuri wa gari? Unajua kuna gari zimeingia nchini under exemption zaidi ya miaka 15 lakini now ukienda kufanyia malipo na usajili...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Home theater inauzwa

    Picha inaonyesha brand mkuu, ni Sony Hilo tatizo nimekosa muda Ila ni dogo saana
  8. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Hajui magari huyu, anaandika Tu vits yenyene number C iliyosimama ni 4,000,0000
  9. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Naomba gari zinazouzwa hii bei hapa zenye namba D nitanunua 2
  10. D

    JamiiForums Tanzania Home theater inauzwa

    Wakuu nauza home theater yangu, Watts 800 Haina blootuth Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000 Picha na mawasiliano zaidi 0658644485
  11. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Hapana mkuu, gari imesimama Sana na siuzi sababu na shida nataka Tu kubadilisha
  12. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Habari, Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha na.ukaniongeza hela. Bei ni 6.8M hata ukiwa mkoani unafikishiwa kwa usalama na uaminifu. Kwa picha naomba...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wapole, waaminifu na wenye upendo wamepungua sana?

    tupo sema ni bahati kukutana tu, hata mm nilikuwa naonaga kama hakuna wanawake kama hao kumbe wapo ila shida ni njia za kukutana na kuaminiana katika kupeana nafasi
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wakati unamjig mkeo anakuambia maneno haya utafanyaje?

    sasa cha ajabu nini? shukuru mungu kabla yako kapitia kwa wanaume wa tatu tu, wengne hata hawakumbukiii
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi serious hili tuje kuoana

    :p:p:p:p
Back
Top Bottom