Recent content by dizbap

  1. dizbap

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Uchunguzi wa kisayansi my foot, Sayansi ipi hiyo ambayo hata kusoma Report ya RPC wa iringa Mmeshindwa kabla ya kuandika report yenu. Maana RPC Iringa anasema Nondo ali report Polisi, Mambosasa Unasema haku report kokote. Daah hii sayansi ya Lumumba.
  2. dizbap

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Maelezo yanajichanganya, Hiyo Statememnti ya Mambosasa imeandikwa Lumumba kama kawaida yao vichwa Boksi. "Hakuripoti Mahali popote si kwa mwenyekiti wa mtaa, Si kwa Afisa mtendaji wa Kata Wala kituo chochote mkoani Iringa" - Kamanda wa Polisi Kanda Maalam Dar es Salaam, Mambosasa. Ref: (Dakika...
  3. dizbap

    Viongozi wa juu CUF wapinga Lipumba kurejea uenyekiti wa chama

    Yeye Mwenyewe pia ni mnafiki, kauli zake wakati anajitoa unazimbuka? he might be good kwa huo uchumi("which I doubt"), lakini sio mwana mapinduzi halisi, ni kigeu geu, JPM amekata posho zao hao mamluki sasa anahaha...kama ni professa wa uchumi si akafanye consultans huko atuachie siasa zetu za...
  4. dizbap

    Viongozi wa juu CUF wapinga Lipumba kurejea uenyekiti wa chama

    Huyu professa na Mashaka sana hata huo uprofessa sijui alipewa na nani, yani ni full PUMBA kama Jina lake la Mwisho linavyo jielezea. Amesahau nini? Kilichomtoa uenyekiti bado kipo sasa anarudi kwa ajili ya nini?
  5. dizbap

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dhambi ya Usaliti inamtafuna Slaa, Alisaliti Kazi ya Mungu (Upadre), Then Akasaliti Ndoa yake....!! Hoja zake nyepesi sanaaaa, Hata watoto wa Darasa la nne wanaweza mjibu, Mwenye Picha za shughuli ya Songea share hapa tuachane na huyu LOFA MSALITI, Nyumba yenyewe alisaidiwa na Mbowe kasema...
  6. dizbap

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mzee ana zeeka Vibaya sana, Heshima yake Imeshuka. Yani kajichanganya sana kwa Hotuba yake, Alafu angesema kuwa leo anakuja Elezea habari za richmond na sio why haonekani. Kaambiwa Arudishe kadi anasema anaweka kama ukumbusho...Hehehehe.. Hivi unaweza weka ukumbusho wa kitu usichokipenda? Huwezi...
  7. dizbap

    TANZIA: Emmanuel Joseph Mbuza (Mbuzax) Afariki Dunia

    Alikuwa Mchizi wangu sana, Na leo hii tulikuwa tukutane kuongelea swala la TV yake. RIP
  8. dizbap

    Jumatatu ni sikukuu ?

    kuna tetesi ni mapumziko, ITV wamehabarisha. Naanaglia kwa twitter/FB pages zao hakuna kitu bado. Ila ita make sense ikiwa holiday.
  9. dizbap

    Bunge Maalum la Katiba, JK amevuna alichopanda

    Sina Mengi ya kueleza hapa ila nataka niwakilishe tu, Hoja yangu hii kwamba " UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA JK AMECHEMKA" Kwanza naomba niulize kwa nini kamati ya katiba alichagua wataalam tu na sio wanasiasa? Jibu alikuwa nalo na anajua, Maana Wanasiasa sio watu wa kuwaamini na...
  10. dizbap

    Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge Maalum JK Achemka!

    Sina Mengi ya kueleza hapa ila nataka niwakilishe tu, Hoja yangu hii kwamba " UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA JK AMECHEMKA" Kwanza naomba niulize kwa nini kamati ya katiba alichagua wataalam tu na sio wanasiasa? Jibu alikuwa nalo na anajua, Maana Wanasiasa sio watu wa kuwaamini na...
  11. dizbap

    Halima Mdee Unachemka

    Yeye si ametususa sawa tutaona 2015 sijui atapita barabara gani, sisi ni watu wa mageuzi na action..tumejichangisha wenyewe 10,000 kwa kila mtu, na huku kuna vichwa kama 700 hivi na tumetengeneza sehemu zote hatarishi now barabara inapitika, nilikuwa nataka aone Jinsi gani sisi tunauwezo wa...
  12. dizbap

    Halima Mdee Unachemka

    Mhh wewe ndio Mdee mwenyewe nini? kwani wakati anaomba Kura zetu alikuwa hajui kama jimbo ni kubwa? Afanye kazi.
  13. dizbap

    Halima Mdee Unachemka

    Hilo ndio neno mkuu. Thanks for your advise, CDM tuleteeni mgombea mwingine Jimbo hilo huyu amesha fulfill dream zake.
Back
Top Bottom