Mm pia natumia hiyo nauli kwahiyo usiseme kazi gn it depends unakaa wapi unakuta mtu unapanda bajaji mbili mpaka kufika job but alichozingua dada mwenzetu ni kuomba nauli ya kazini wakati hua inakua kwenye budget ya mshahara
Duka la nafaka, mfano umeagiza nafaka kilo 100 ukija kupiga hesabu unapima ulipo unajua uliouzw ani kiasi flani na bei kiasi flani na hata mafuta lita zinajulikana inshort vitu vya duka la mangi vinakuja kwa idadi na control ni rahisi hata kama hayupo
Huwezi weka ya kwenye mitihani maana hujafanya mtihani wowote wa chuo hapo unaweka namba iliyoko kwenye admission letter hlf unatengeneza password unaingia kufanya malipo na vingine vinavyohitajika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.