Recent content by diya

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nacte

    Nami nasubir lakini mbona wanachelewa sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa Shule za Binafsi zinazotoa Elimu nzuri hapa Nchini

    Ukiacha Alfa shule gani nzuri kwa mikoa hyo hata km ni pembeni ya mji
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa Shule za Binafsi zinazotoa Elimu nzuri hapa Nchini

    Mi naombeni kufaham shule binafsi nzuri kitaaluma kwa Morogoro,Dodoma na Pwani
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule inayofundisha watoto wenye Autism

    Shule ya msingi Kiwanja cha ndege, Morogoro kuna kitengo cha watoto hao Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ipi course ya Kilimo yenye maslahi zaidi kusoma degree kati ya hizi

    Ila kweli inawezekana kusoma course yoyote ukiamua
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ipi course ya Kilimo yenye maslahi zaidi kusoma degree kati ya hizi

    Nasikia Agronomy ni course ngumu, vp ukweli kuhusu hilo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ipi course ya Kilimo yenye maslahi zaidi kusoma degree kati ya hizi

    Wakuu habari zenu,Naomba kuuliza ipi course ya kilimo yenye maslahi zaidi ya kusoma degree kati ya hizi : 1 . Agriculture extension 2 . Horticulture 3 . General agriculture Naombeni michango yenu kwani nipo njia panda, nilichaguliwa agriculture extension mwaka jana nikahairisha,mwaka huu nawaza...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini tofauti ya dini inanitatiza

    kubadili dini kuna hasara nyingi kuliko faida kwa mimi nilivyoona, na sitaki mtu abadili dini kwa ajili yangu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini tofauti ya dini inanitatiza

    Kwenye swala la dini ndio pagumu, kubadili dini kwa ajili ya mke au mme mmmh sio mchezo, kwa upande wangu nmeshindwa niliwahi kuvunja mahusiano yaliyokomaa sababu ya dini
  10. D

    JamiiForums Tanzania Waliositishiwa mikopo na HESLB kwa kutohakikiwa pitia hapa kuangalia jina lako

    Hapo kuna majina yapo lakini watu walienda kuhakikiwa namaanisha wameyatoa kwa kukosea, je mtu anaweza kwenda loan board kuwaelezea na wakamuelewa?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu ukoje ambao hawakuripoti chuo mwaka jana?

    Vp alipata mkopo?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watumishi wa umma hawaruhisiwi kusoma first degree?

    Umesikia ni nchi nzima au huko nsimbo tu, mbona hamna halmashauri nyingine iliyotoa tangazo la hivyo, mimi binafsi naweza nisiamini hii kitu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na kusoma/kujiendeleza

    Mi sijaelewa kitu, je ni halmashauri zote au ni huko nsimbo pekeake (katavi) Sababu waraka unaosambazwa ni wa nsimbo, inawezekana ni maamuzi ya halmashauri yao tu au ni agizo kutoka ngazi za juu?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuhusu likizo isiyo na Malipo kwa Wanaoenda Kusoma

    Kwahiyo mtu akienda kusoma first degree atapata mshahara au hapati
  15. D

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watumishi wa umma hawaruhisiwi kusoma first degree?

    Aisee hali sio nzuri
Back
Top Bottom