Recent content by Dixon Divox

  1. D

    Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

    Asante wadau naendeleo kufuatilia maoni yenu yana mchango mkubwa sana kwangu!!
  2. D

    Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

    Wadau naomben ushauri kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko? Msaada tafadhali
  3. D

    Wakaka wamekuaje tena?

    Huwaa wanatabiaa ya kupush ndoaaa
  4. D

    Wakaka wamekuaje tena?

    Tuliaa ivo ivoo
  5. D

    Nisaidieni nakaribia kuumbuka

    Daaaah mkuuu uko kama mm nina wawili sielewiii naoa yupi naachaa yupiii ilaaa mm kuna mmoja naona familia yao sio kubwa kvle kwa hyo nimepgaa calculations za future nisije nikawa na unecessary extended family ya kusomesha watoto wa wakwe,
  6. D

    Ningekuwa na uwezo wa kuwaoa wote wawili

    Wakuu polen na majukumu Mm ni mdau nina mademu wawili.wote wako good kila secta na wote wacha Mungu,changamoto ninayoipata ni kwamba nimeanza kuwaza swala la kuoaa ttzo linakuja naona wote ni wife content yaan they all deserve to be treated equally sijiskii kumuumiza yoyote wote wanastaill sasa...
  7. D

    Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Mkuu mm naombaa kuulizaa hv hzi kazi tunazoomba online huwa wanaconsider maombi ya watu na kuwaitaa kwa interview kwelii?au ni kwa watu wanaopelekaa maombi physicaly tu?
  8. D

    Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Mkuu vp kuhusu interview unazotegemeaa kufanya uliombaa online au ulipeleka maombi physicaly.?
  9. D

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    But dizain kama wasomi ambao ni unga unga watapungua au nyie mnalionaje hili wakuu
  10. D

    Repost..Nauza photocopy machine

    Nduguu wanajamvi nauzaa photocopy machine canon 1024..ina print,fax,na copy.bei 650000.bei itapunguaa. Nko arushaaa.
Back
Top Bottom