Kuna Guest house nzuri pale unaitwa Full Dose ni umbali kama mita 300 kutoka stend na Sehem ya kupata bia na Toto's panaitwa P square.
Niko Tabora lakini napafaham hapo
Bola umemuacha kaka alivyo maana ukweli unajua chama kimejengeka sana sana sana na angekuwa ni Dr Slaa hata kura milion3 zisingepatikana ingawa wabunge wangepatikana
Kukamata dola sio Zawadi au tunukufulani kwa uliyofanya.Mimi ni mwana cdm lakini siwezi kuwaza hivyo hata siku moja kitakacho angaliwa ni ile moyo wa kweli wa kutaka kuwasogeza Watanzania kutoka walipo na kwenda hatua kadhaa mbele ndicho kitakacho wapima na wala sio Tunzo kwa ajili ya wazazi wao
Chadema waliangalia urais zaidi kuliko ubunge ndio maana wakakubali kuungana lakini kama wangetaka wabunge tu nadhani wangevuna wengi zaidi.
Mfano Jimbo la Segerea nilikuwa ni la Chadema mapema asubuhi lakini ugimvi Wa cuf ukapelekea kuachiwa jimbo na matokeo yake wale waliokuwa wanahudhuria...
Unaonekana wewe ni teammasaburi sisi hatuna shida na Dr Slaa wala yeyote alietoka na kurudi ccm.
Chama kinaendelea kukua bila nyie sasa tumekosa urais lakini tumepata wabunge wengi zaidi kuliko mlivyotarajia mtuache mkwendeeee.
Tunaanza kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.