CUF wanastahili kugombea majimbo mengi zaidi 2020

CUF wanastahili kugombea majimbo mengi zaidi 2020

Chadema waliangalia urais zaidi kuliko ubunge ndio maana wakakubali kuungana lakini kama wangetaka wabunge tu nadhani wangevuna wengi zaidi.
Mfano Jimbo la Segerea nilikuwa ni la Chadema mapema asubuhi lakini ugimvi Wa cuf ukapelekea kuachiwa jimbo na matokeo yake wale waliokuwa wanahudhuria mikutano ndio walikumbuka kwamba ni cuf lakini wengine wote walijua ni cdm tu mwishiwe wamempitisha mgombea Wa ccm kirahisi kabisa
 
Cuf walipewa majimbo mengi yenye uhakika wa kushinda...pia chadema imepoteza majimbo mengi kanda ya ziwa kutokana na siasa za kikabila...ccm wamefanya siasa chafu sana kanda ya ziwa

Huna haki ya kuilaumu ccm kwa siasa za kikabila! Chadema wamekuwa na matatizo haya kwa miaka kadhaa sasa! Hata leo ngoja uhesabu wabunge wa viti maalum wangapi watakuwa wachaga au watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara!
Huwezi kuwafanya watu wengine wajinga eti wajali utaifa wakati wewe unaendekeza ukabila! Hili ni tatizo lakini kama mnaliona lina shida basi lifanyiwe kazi na watu wote! Chadema waanze kwa kubadilika kabla ya kuwataka wenzao waoneshe mfano!
 
Watapewa majimbo mengi ya mikoa ya pwani na kanda ya kati.

Kazi ni kwao.
 
Cuf walipewa majimbo mengi yenye uhakika wa kushinda...pia chadema imepoteza majimbo mengi kanda ya ziwa kutokana na siasa za kikabila...ccm wamefanya siasa chafu sana kanda ya ziwa
Kweli nyani halioni kundule,na huko umasaini na uchagani ndiko Chadema wamefanya siasa nzuri eh.
 
hata NCCR INGEPEWA VITI VINGI SEHEM MBALIMBALI NAAMIN WANGESHINDA WALAU VITI 3...4 hivi . sasa huyu mbatia kakubalia kupewa majimbo sita.. , kwa waliosoma probability wanajua unapoongeza sample space !! pia namba of event inaongeza

KilichowPonza NCCR ni manung'uniko. Badala ya kufanya kazi wakaanza kulalamika na kuishutumu Chadema matokeo yake ni kuambulia kiti kimoja. Isiopokuwa katika maeneo machache Cuf walikuwa positive na Ukawa na wamevuna matunda. Na nina imani 2020 watakuwa wameimarika zaidi. Nccr badilikeni, chapeni kazi acheni mambo ya kukaa ofisini na kuanza kulalamika.
 
Back
Top Bottom