Recent content by Dive

  1. Dive

    JamiiForums Tanzania Mwanzo dot org na Shangazi Power project wanapokea fedha kutokaFord Foundation

    Hawa jamaa bana Kwa hiyo kufundisha watu elimu ya uraia na kuwaamsha wanapoonewa ni vibaya. Mnabaki kupinga tu?! Kwani wapi wamefanya vibaya wanaandika proposals nzuri , wanaelezea watafanya nini . Kwani wananchi hawajatekwa? Wananchi hawajauwawa? Wananchi hawaundiwa tume feki ya uchaguzi eti...
  2. Dive

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Eti wamuache huyu wa wapi waje wakose faida zao, Wana roho ngumu za kishetani na ndiyo wanafuata vizuri maelekezo ya kitabu cha THE PRINCE cha NICOLLO MACHIAVELLI
  3. Dive

    JamiiForums Tanzania Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

    Huyu alishatabiriwa na watumishi wa Mungu wale wadada kuwa atakufa 2026 hivyo roho za mauti zinamfuata amuache Mrs wake ndiyo mbunge
  4. Dive

    JamiiForums Tanzania ‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

    Bongozozo anajitambua kuliko wenye nchi yao wasioangalia mizizi ya tatizo wanakimbilia matawi na matunda
  5. Dive

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Sheikh Sharif 'Majini' akimshauri rais Samia kuzima mitandao siku tano kabla ya uchaguzi

    Kikosi cha kukomesha mpaka wakome kabisa kikapita naye hakuna cha majini wazuri wala maruhani. Life is spiritual shetani anamchekea huko anakowaka moto mkali kuzimu.
  6. Dive

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Utamu wa pesa za kulipwa bungeni unawasababisha warudi tena na tena. Hawatutendei haki nchi kama nchi tunahitaji wabunge wanaoenda kutuwakilisha wananchi sio hao wa kushibisha matumbo yao na familia zao.
  7. Dive

    JamiiForums Tanzania Aende wapi kati ya TARURA kwa Mkataba ama HALMASHAURI ila Perment!

    Nenda kwenye permanent ukiacha utakuja kujijutia mbele, ingia kwenye system then mengine yatajiseti
  8. Dive

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumve apinga Bajeti ya Ujenzi, adai kuchoshwa na Uongo wa Miaka mingi

    Tangu enzi za Richard Ndasa huu mwaka wa uchaguzi tutaona mengi. Mageni anazinduka mwaka wa mwisho kuelekea kwenye uchaguzi ?! Tuna safari ndefu sana
  9. Dive

    JamiiForums Tanzania Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

    Madaraka ya kulevya
  10. Dive

    JamiiForums Tanzania TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Kuandika tu hujui hoja zinakuwaje na mashiko. Umeamka vibaya wewe
  11. Dive

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Booooooom
  12. Dive

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu tayari umeshaboom kipindi cha kwanza. Hongera sana Mkuu.
  13. Dive

    JamiiForums Tanzania Tusitegemee CCM kama ilivyo Kanu na ZANc kwa kutegemea vyama hivi vya wasakatonge kama Chadema au ACT wazalendo

    Mzee wa kucopy na kupaste kutoka X kwanini usiweke mawazo yako badala ya kucopy vya watu.
  14. Dive

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Wawili wakamatwa na Shehena ya Kopa Tani 7.7 waya za kopa Kilo 2,628.5 7.7 za TRC na TANESCO

    Hatua kali na za haraka za kisheria zichukuliwe. Hivi India tunaweza kwenda kuhujumu miundo mbinu yao ili tuifanye malighafi. Inaumiza sana.
Back
Top Bottom