Ingia kwenye akaunti yake,halafu nenda kwenye SELECTED PROGRAMS,ikifunguka shuka hadi chini ile sehemu wameandika 'CLEAR MY APPLICATION' clik hapo,Baada ya kuclear,log out.Then log in tena,sasa safari hii ujaze course zote tano at the same time then uzisave kwa pamoja,usiache nafasi.ukijaza...