Thanks mkuu, ila ni USA-River sehemu gani specifically?kwa kununa mashamba upande huu bado watu hawajawa wepesi kuachia labda kukodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu, ila ni USA-River sehemu gani specifically?kwa kununa mashamba upande huu bado watu hawajawa wepesi kuachia labda kukodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta zao la ushindani ili ikulipe mkuu, kuweka dripping kwa ajili ya mahindi sidhani kama inalipa.Nataka nilime mahindi katika mkoa wa morogoro kijiji cha kisaki,mpango ni kumiliki ekari nne,nikitumia njia ya drip irigation itagarim kiasi gani ?na je kwa kilimo cha mahindi ni vyema kutumia drip irrigation?
unapo weka drip sidhani kama utakuwa unamalengo ya kulima maindi tuu...kuna mazao mengi ambayo yana ushindani kwenye soko kama nyanya, vitunguu, na kadhalika....na uwezi kuitaji drip systim bila kufanya uchunguzi wa zao unalotaka kulima..Tafuta zao la ushindani ili ikulipe mkuu, kuweka dripping kwa ajili ya mahindi sidhani kama inalipa.
Anyway mtaalam atatusaidia
drip line rola moja inategemea kuna maeneo wanauza mita moja 360 mpaka 500.mkuu hongera sana lakini hata kama hizo drip pipe kila mmoja anauza bei yake lakini angalau utuambie wewe ulinunua bei gani tujue tunajipangaje
pia nakuomba mkuu angalau Uwe unaweka h inapohitajika
Hekari moja zinaingia roller ngapi mkuu?drip line rola moja inategemea kuna maeneo wanauza mita moja 360 mpaka 500 kwaiyo kama mita moja ni 360 basi rola ni laki tatu thelasini.na kama mita itakua 500 basi rola moja ni lakitano....ila ww ukiwa tayari wasiliana na mm nitakuelekeza vzr kama maelekezo bado ayajitosheleza asanthe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kama unaweza kufanya instorelation ya drip systim kwenye kiwango cha shamba ulilo nalo unaweza lima maindi kisasa kabisa na ukafanikiwa kwa njia hii...unaweza uza ya kuchoma yaani maindi mabichi na ikakulipa ila lazima ufanye uchunguzi wa zao la maind mabichi kwa eneo uliopo.Nataka nilime mahindi katika mkoa wa morogoro kijiji cha kisaki,mpango ni kumiliki ekari nne,nikitumia njia ya drip irigation itagarim kiasi gani ?na je kwa kilimo cha mahindi ni vyema kutumia drip irrigation?
maeneo yanatofautiana sana utakapo kuwa tayari nitakufanyia vipme ndio nikuambia full instorelation na bei yake..Hekari moja zinaingia roller ngapi mkuu?
Asante mkuu, kwa hiyo nikihitaji roller unauza pia? Maana nilitaka kujua kiasi ili niweze kuagizamaeneo yanatofautiana sana utakapo kuwa tayari nitakufanyia vipme ndio nikuambia full instorelation na bei yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
uwezi kuagiza kabla fundi ajakufanyia vipimo vya shamba lako Boss...ili kuagiza nilazima shamba likaguliwe na upewe ushauri, na fundi angalie mkondo wa maji upo wapi kutoka kwenye shamba lako.Asante mkuu, kwa hiyo nikihitaji roller unauza pia? Maana nilitaka kujua kiasi ili niweze kuagiza
Bado utakwepa utumiaji wamaji kwa wingi na katka uchumi utakuwa umepoteza maji mengi sana kwa mfano kama mm na tumia liter elfu kumi kwenye heka ww utatumia liter elfu 30 na utakuwa na asara zingine kama mbolea kwa wawekaji na majani yatamea maeneo mengi ya shamba na hiyo pia inachangia upungufu wa mazao na yataota marakwa mara na kukupelekea kufanya palizi takribani tatu nikimaanisha moja yakiwa madogo na yakujazia udongo na kung'olea majani kwa kadri yatakapo kuwa nitakuonesha picha ya kilimo cha unacho taka na nacho taka ulime ukipendezwa nacho uwone tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanthe sana kwa hayo uliona nitafanyia marekebisho ubarikiwe.Nitoke nje ya mada kidogo, nimefuatalia hili darasa lako, lakini nimekutana na tatizo moja toka kwako. Unaoenakana una tatizo kubwa la uandishi, huna nukta wala koma. Kwa watu makini ni darasa gumu kidogo. Hebu rekebisha hayo makosa ya kiuandishi ili darasa lako liweze kueleweka. Pia angalia maneno yako kwa ajili ya hayo makosa ya kiuandishi mpaka yanakosa maana tunayopaswa kuipata.
uwezi kutengeneza drip systim kienyeji Mkuu.Naweza kutengeneza drip system kienyeji ?tunaomba picha yake uiweke
naomba nikutembelee mkuu hapo shambani kwa ajili ya kujifunza mawili matatu.
Mkuu ungejiweka wazi kwamba unatoa ushauri pamoja na kuuza miundombinu ya Dripping, kama nakosea nisahihishe bosi
Usijali kuusu kuja kutembelea mkuu nitakuambia siku, ya kuja kuangalia na utajifunza mengi.naomba nikutembelee mkuu hapo shambani kwa ajili ya kujifunza mawili matatu.
Niambie shida yako kwenye kilimo kutokana na ulivyo ona mpaka sasa alafu nitakujibu.Mkuu ungejiweka wazi kwamba unatoa ushauri pamoja na kuuza miundombinu ya Dripping, kama nakosea nisahihishe bosi