Watakiwa na Ikulu yao aende huko lakini si Ile ya pale Magogoni.
Channel ten na Kingunge wamekuwa mawakala wa mafisadi na ufisadi. Rejea kipindi maalumu cha kingunge na taarifa ya habari ya jana na hasa leo alfajiri saa 12 asubuhi. Wanatumia maneno ya baba wa taifa na wanapotosha. Baba wa...
Kikwazo cha Lowassa kutopitishwa kupeperusha bendera ua CCM ktk ngazi ya Uraisi si Membe bali matendo yake ya wizi, ufisadi, rushwa na kujilimbikizia mali kupitia madaraka aliyopewa. Mshaurini na mumwambie ukweli kikwazo ni madudu aliyoyafanya wakati akiwa madarakani na pia hata baada ya...
Safi sana. Kati yao kuna mmoja kuongea kwake inabidi umsikilize kwa makini ndiyo uelewe unasrma nini. Mdahalo utaandaliwa lakini kuna atakayeingia mitini.
kweli una maslahi na taifa hili. Hatuwezi kuacha wevi na wanyang'anyi waingie ikulu. Unajua inasikitisha sana kuona mzee kama kingunge awe kuwadi tena kuwadi wa ufisadi kheri angekuwa kuwadi wa kumtafutia bosi wake chicken springs wa kumfurahisha mamvi faraghani.
Naomba nijulishwe kama mzee...
Natamani Julai ifike, jina la fisadi Lowassa likatwe mapema na hapo ndiyo atakapotambua watu wanakula pesa yake tu. Atabaki na walinzi wake tu makundi ya kwenda nyumbani kwake yatafikia tamati maana mkono mtu hauwezi kulambwa, ulaji hakuna. Tunasubiri Dodoma wamwonyeshe yeye si kitu mbele ya...
Hataki jina la kibaka likatwe sababu parkings za Dar zote atanyang'anywa akii asiye fisadi na atakosa ulaji. Wazee wa umri, wazee wa dhuluma na ufisadi wanatapatapa kuu la majambazi liingie Ikulu. Thubutuuuuuuuuuuu jina linakatwa mapemaaaaaaaaaa mzunguko wa kwanza hatusubiri robo fainali.
Mpitisheni jina lake katika nchi yenu ya kusadikika iliyojaa ufisadi, wevi na wanyang'anyi. Urais unatafutwa kwa rushwa na ubabe na kutosililizana huo utakuwa wenu majizi ya nchi hii na mafisadi ila kwa nchi yetu hii TANZANIA nafasi ya wenye ubabe na wadudu kichwani hawawezi kupewa dhamana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.