Recent content by Dislike

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane: Hapa lazima moto utawaka tu!

    wacha kura zilindwe hofu yenu ni nini?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu imefanya marekebisho haya kuhusu vifurushi

    Mbona mi sijasomea IT ila nawazidi ujanja mait wengi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania CCM inapendwa na inaendelea kupendwa na kuaminiwa, CCM ni faraja kwa Watanzania. Chagua CCM

    Acheni kuchekesha watu CCM labda inapedwa mtaani kwenu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Jifunzeni kuandika vizuri mada ili msipotoshe watu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania ITV na Azam Tv kurusha LIVE uzinduzi wa ACT-Wazalendo

    Kinacho nishangaza ni kwamba wapambe wa ACT ndio walewale wa CCM sasa sijui huenda ACT ikawa haina watu kabisa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    Bila kujari kama Gwajima alikosea au hakukosea Pinda ndiye aliyemdhalilisha Pengo kwa kitendo cha kumshawishi mfipa mwenzake atoe lile tamko la kupinga maaskofu wenzake.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kulipia azam tv

    Wa ndugu naombeni msaada, nimelipia Azamtv kwa Mpesa Tsh.12,500 pesa imekatea lakini narudishiwa message inayosema invalid smartcard number sijui nifanyeje.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

    Tumeona matukio mengi police wakipiga raia kinyume na sheria sasa we sijui wamekutuma uwatetee.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

    kwani fereshi ni dini gani mkuu kama ni mkristo hawezi kupata.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

    Huyu mama amekuwa akigawa vyeo hasa ukurugenzi wa halmashauri kwa marafiki zake.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nape awananga CHADEMA

    Nape hajitambui.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mitaa korofi na hatari mikoani

    mabwepande lazima upoteze kucha na meno.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kundecha, afunga mjadala wa mahakama ya Kadhi, Aeleza kwa ufasaha mkubwa umuhimu wake

    Hakuna la maana aliloongea udini tu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Fred Mpendazoe?

    Yupo kaajiriwa na shirika la kimataifa la SNV.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    Nimekuwa nikifuatilia bunge la bajeti la mwaka huu tangu linaanza lakini bunge la leo baada ya wapinzani kususia bajeti ya Nishati na Madini huwezi kutamani kuendelea kutazama wala kusikiliza jinsi lilivyo poa sijui wenzangu mnalionaje.
Back
Top Bottom