Pole mkuu... Ckuzote ugumu wa maisha ndio kipimo cha akiri... Apo ndipo utaanza kuelewa nani alikuwa rafiki na nan alikuwa mpiga story...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv unadhani Daniel kuandika kwamba maarifa yataongezeka pengine alimaanisha nini et...
Kama ulitaka Biblia iandike kila kitu unadhani ungekuwa na uwezo wa kusoma...
According to the holly Bible.... Katika Zaburi 24 fungu la kwanza anasema... nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA,Dunia na wote wakaao ndani yake
Pia katika Ayubu 41:11 and more other...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.