Recent content by directortmk

  1. directortmk

    Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Weka namba hapa nikupigie
  2. directortmk

    Juma Nature X Chegge

    Music iko hivyo, hata 50 Cent hasikiki sasa hivi.
  3. directortmk

    Juma Nature X Chegge

    Hii imekaa vyema!
  4. directortmk

    Singida:RC na DC azindua pikipiki nne za kukagua koroshow

    Wangezindua ngapi ili uwe confortable?
  5. directortmk

    Watumishi wa Umma Hawajitambui

    Mkuu umejuaje kama ni mtumishi wa umma?
  6. directortmk

    Haya ndiyo maswahibu kwa abiria wa basi baada ya kuzuia mifuko ya plastiki

    Wenye mabasi wawe wanagawa mifuko maalum ya kutapikia kwa abiria. Ipo na hata kwenye ndege na boats inakuwepo sio plastic kama iliyokatazwa.
  7. directortmk

    Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

    Nadhani ni wa kusadikika tu, kwani safina ya Nuhu ilikuwa Afrika Mashariki?
  8. directortmk

    Je, peponi na jehanamu ni hapa hapa Duniani?

    Bila shaka ndio maana tunapenda kusema "...anakula pepo" kwa anayeishi kwa kupata mahitaji yake mpaka ziada.
  9. directortmk

    Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

    Huyu ndiye UNJU BIN UNUKI..aisee uumbaji wa ajabu
  10. directortmk

    Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

    Hata pombe ni chungu, lakini tunatumia kama kiburudisho mpaka enzi hizi!
  11. directortmk

    Way bridge wa bandari ya DSM imezua balaa. Madereva wasusia malori barabarani.

    Pale palikuwa hovyo sana leo kwenye round about ya Bandari/Kilwa rd..ule mzani utakuwa umeelemewa
  12. directortmk

    Kumekucha huko misri namuona Makonda hapa...

    Hawa jamaa wanachomoa kiajabu,2-2 sasa
  13. directortmk

    Wakuu tusipowawahi vijana na hutu tusuruali uchwara twa kisasa watapotea na kuwa mashoga

    Kazi ni pale anapotaka kuivua..mpaka atumie mfuko laini wa nylon na hivi imekatazwa sijui inakuwaje wallah:D
  14. directortmk

    WATENGENEZAJI WA VIDEO; MINI DIV PLAYER INAHITAJIKA AU HUDUMA YA CAPTURING (INPUT)

    Nipo Dar, unapatikana wapi? tapes zipo zaidi ya 10. Je, gharama zikoje?
Back
Top Bottom