Recent content by DirectorPennyTZ

  1. DirectorPennyTZ

    Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

    Ila cha muhimu sana hapo mwanamke akiwa mwenye kutumia kauli nzuri ndoa yake itakuwa ya kheri siku zote
  2. DirectorPennyTZ

    Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Unlock a world of casual fun and excitement with the premier dating site. Night games. One night, no worries Legitimate Girls Top-notch casual Dating
  3. DirectorPennyTZ

    Waziri Mwakyembe amemuomba Diamond Platnumz kubadilisha ratiba ya Wasafi Festival mkoani Iringa ili ahudhurie tamasha la JAMAFEST

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amemuomba msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kubadilisha ratiba ya Wasafi Festival mkoani Iringa ili ahudhurie kwenye tamasha la kizalendo la JAMAFEST. Akiongea na Waandishi wa Habari Waziri Mwakyembe amesema kuwa...
  4. DirectorPennyTZ

    Watu watano wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa bajaji

    JUHUDI za Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kukomesha wizi wa vyombo vya usafiri hasa Bajaj na pikipiki, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwanasa vijana watano wanaodaiwa kuhusika kwenye matukio hayo huku likiendelea kuwasaka wengine. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juzi, Kaimu...
  5. DirectorPennyTZ

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha kutengeneza mabomba Vingunguti jijini Dar es Salaam, alieleza jinsi alivyoshangazwa na Watanzania walioshangilia mkasa ulioikumba ndege hiyo ambayo imenunuliwa kwa kodi za wananchi. “Wasaliti walikuwapo tangu enzi Mungu alipoumba dunia...
  6. DirectorPennyTZ

    Janga la petroli duniani

    Wachambuzi wameonya kuwa shambulizi lililofanywa na ndege zisizokuwa na rubani (droni) katika vituo viwili vya mitambo ya kusafisha mafuta, inaelekea kuwa umezidi kuharibu uwezekano wa suluhisho kati ya Tehran na Washington, na huenda ukasukuma bei ya mafuta kufikia dola za Marekani 100 kwa pipa...
Back
Top Bottom