Recent content by Dinho wa Dinho

  1. D

    Nani anaefaa kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya ACT?.

    Yawezekana wewe kweli ni Ze--ze--ta
  2. D

    SAUT campus ya Mtwara kimenuka

    kheri yao SAUT, SUA hali ni mbaya lakini wapo kama Kondoo tu. Wanasubiri haki yao itafutwe na wengine
  3. D

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kitendo cha TBccm kukatisha matangazo ya Bunge na kuweka hotuba mbovu ya mkuu wa kaya ni kutolitakia mema taifa hili. Tuberclosis bacteria ya sisiem(TBccm) ni zaidi ya kirusi kinacholiangamiza taifa hili. Siku zote ukweli na uwazi ndo unaojenga nchi na penye ukweli uongo hujitenga. Tundu...
  4. D

    Prof. Anna Tibaijuka amkosoa Mh. David Kafulila

    Ndugu wanajamvi, nani ambaye amewahi kuona panya mwenye akili kuliko wenzake? Panya hata awe mkubwa ni panya tu na mawazo yake ni ya kipanyapanya tu. Akili za mapanya zinafanana. Usimshangae kusema hivo kwa sababu yeye ni ukoo ule ule wa mapanya. Tunaoamini ukweli tunaendelea kuamini ukweli.
  5. D

    Ungependa sherehe za kushereheke TANGANYIKA mpya Mgeni rasmi awe nani na wapi ?

    yafanyike uwanja wa lake Tanganyika-Kigoma. Mgeni rasmi Waryoba, makao makuu Dodoma
  6. D

    Kinana: Tujilaumu kwa Katiba ya Zanzibar

    Nchi yetu inaenda mrama kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri kwa viongozi wetu. Wakijitahidi kufikiria, fikra zao zinaishia matumboni mwao.nikimaanisha maslahi binafsi. Hawaangalii kabisa mstakabali wa taifa letu kwa miaka mingi ijayo. Hakika tutaangamia kwa viongozi wetu wengi kukosa maarifa.
  7. D

    Ni lini mara ya mwisho CCM ilikuwa na katibu mkuu mzanzibari/kutoka Zanzibar?!

    Je, unamaanisha kwamba Zanzibar hakuna watu makini ambao wanaweza kuwa katibu wakuu wa CCM?
  8. D

    Mapambano yanaendelea

    Muungano wetu ulikuwa wa nchi mbili za TANGANYIKA na zanzibar kuunda Tanzania. Tunaona zanzibar bado ipo tena ikijitangaza kama nchi kamili lakini TANGANYIKA hatuioni japo kila Desemba 9 tunaadhimisha uwepo wake. Tunahitaji Tanganyika inayoonekana na kama ilivyo Zanzibar. Tanganyika kwanza...
Back
Top Bottom