Recent content by dingifita

  1. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi Tina wa Mwananyamala

    Duh, kwa mashine hiyo uwanja utakuwa na manundu....
  2. dingifita

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepanga kufanya kisasi kibaya kwa mtu aliyenidhulumu pesa zangu

    Ukifanikisha kumkata network upande m1 wa mwili usifanye kazi itakuwa vyema, nami kuna mmoja namsaka...
  3. dingifita

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

    Yap, hata orbit yetu haipo sawa, ndio maana kuna msimu wa kiangazi, kipupwe, masika etc....
  4. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Cellular...
  5. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Phonebooth...
  6. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumsahau

    Miaka 23 sio kabinti....
  7. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikipenda tena nigeuke nguruwe

    Umle kwa ndizi?
  8. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikipenda tena nigeuke nguruwe

    Mpe muda wa kutosha asettle , baada ya hapo unaweza hata kushinda nayo....
  9. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna hii tabia ya kuomba namba ya mtu warafiki yako inakera sana na ipo

    Umbali kati ya maex sometimes unasaidia pia...wanaweza kuwa na communication lakini physically ikawa ngumu kuonana hatimaye with time yanakwisha...vinginevyo utakuwa mtu wa kulialia kila siku
  10. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna hii tabia ya kuomba namba ya mtu warafiki yako inakera sana na ipo

    Tatizo linakuja pale x anapokuwa bado anapendwa lakini si muoaji, wewe unapewa nafasi kwa vile umejipendekeza kuoa...utajuta
  11. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Loose ball
  12. dingifita

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji hapa Dar es Salaam

    Ukimpata ambaye in 'genuine' tujulishane....
  13. dingifita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anakuja na kurudi siku hiyo hiyo!!

    Huwezi kufanya ziara ya kushtukiza wakati haupo tayari kumuacha....tatizo haya masuala yanaongeza mzigo katika kiungo ambacho kazi yake ni kusukuma damu tu.....
  14. dingifita

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na hizo number ni matapeli

    SUPER FEO NASIKITIKA SANA NIMEKUPA NDANGU NA UMEFUATA MASHERITI NA UMEPATA UTAJILI MKUBWA NA UNANIHESHIMU BABU YAKO UKUMBUKE WEWE NA WENZAKO MWENDAMSEKE PAMOJA NA MANYANYA NILIWASAIDIA BURE NA BAADA YA KUFANIKIWA MULIKUJA KUNISHUKURU TENA NIMEWAPA DAWA AMBAZO HAZINA MATHALA LAKINI MWENZAKO WA...
Back
Top Bottom