Recent content by dindilichuma

  1. dindilichuma

    Mwisho wa namba za mtihani kidato cha nne na sita kwenye kuomba chuo ni miaka mingapi?

    Namba ya kidato cha nne na cha sita haina expiry date. Unaomba chuo mwaka wowote mradi matokeo yako yanakidhi vigezo vya kudahiliwa kwenye chuo husika.
  2. dindilichuma

    Maulid Kitenge na wengine mmetuonyesha kuwa ajira za Tanzania ni holela sana. Inakuwaje miaka 20 kazini huna cheti cha taaluma?

    Mwandishi wa habari anapaswa kuwa amebobea kwenye fani flani lakini ni lazima awe mwandishi wa habari. Mfano mwandishi wa habari za mahakama anapaswa kuwa na weledi pia kwenye masuala ya sheria hivyo licha ya kuwa na taaluma ya uandishi wa habari anapaswa kusoma pia sheria. Kubobea kwenye fani...
  3. dindilichuma

    Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

    Shida sio Form four certificate, si unafanya mtihani wa form four kama private candidate na sioni kama kuna shida. Labda nia ya kusoma ndio hawana maana miaka 9 sasa inapita tangu wapewe maelekezo ya kusoma. Miaka 9 inatosha kusoma mpaka bachelor kabisa sio Diploma tu tena kwa mtu alie na elimu...
  4. dindilichuma

    Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Muhusika angeweza kureseat kupata D nne inawezekana kabisa. Kwasababu utaratibu huu uliletwa mwaka 2016 ni miaka 9 sasa imepita. Kama mtu kapewa miaka 9 kupata Diploma hata kama alikua lasaba angeweza kusoma mpaka kufikia Diploma hata bachelor. Labda wahusika hawakua na nia ya kusoma au hawana...
  5. dindilichuma

    Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Kipaji ni added advantage lakini lazima upate elimu ya taaluma husika. Hata ujue sheria kwa kiwango gani huwezi kuwa Wakili bila kusoma haiwezekani. Hata ujue kutibu kwa kipaji huwezi kusajiriwa kama Daktari na haujasoma haiwezekani. Sasa uandishi wa habari ilibaki fani isiyo na uthibiti...
  6. dindilichuma

    Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Wameachwa toka mwaka 2016, ni miaka 9 sasa imepita hata mtu wa lasaba angekua kamaliza hiyo Diploma kitambo. Labda hawapendi shule au hawapendi kuwa wanahabari.
  7. dindilichuma

    Kelele zimepungua redioni. Elimu haitaki kelele

    Vipindi vilikua vinamilikiwa na watangazaji au na Vituo husika? Kwanini hao watangazaji wanaogopa sana shule? Tangu mwaka 2016 ni miaka 9 imepita wakiambiwa wasio na sifa za kielimu wasome wengine wakasoma wengine wametulia tuli wakiona serikali inafanya mzaha. Mtu kama Shigongo ametoka Lasaba...
  8. dindilichuma

    Tanzania ina waandishi wa habari wazuri sana, vyeti sio tatizo

    Walitoa muda wa kusoma tangu mwaka 2016. Hata kama mtu ni lasaba angekua alishamaliza hiyo Diploma kama kweli anania na kazi husika. Taaluma nyingi zina udhibiti wake inawezekana kukawa na wanaofanya vizuri na wanaofanya vibaya lakini ni vizuri kuwa na udhibiti wa watu sahihi kwenye taaluma...
  9. dindilichuma

    Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Mkopo unapata na pia ukimaliza foundation unaomba mkopo na unaweza kuomba vyuo vingine vilivyo chini ya TCU
  10. dindilichuma

    Kama aliyesoma diploma ana G.P.A chini ya 3.0 anafanyaje kuingia degree?

    Fuatilia vizuri Foundation Programme ni kozi ambayo iko under TCU. Chukua guide book ya TCU utaona sifa za vyuo vingi kujiunga mojawapo ni muhitimu wa Foundation Programme ya OUT akiwa na GPA ya 3.0 kwenye foundation.
  11. dindilichuma

    Naomba kujua Utaratibu wa kujiunga Open University kwa mtumishi wa Umma

    Unaweza kusoma bila shida kabisa kwasababu wakati peke unapohitajika kwa lazimq chuoni ni kipindi cha mitihani. Mitihani inakua February June September Unachagua kipindi unachotaka kufanya hivyo unapanga likizo yako iwe June au September then unafanya mitihani.
  12. dindilichuma

    Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    Nadhani mnashindwa kuelewana kwasababu unataka picha ya shule ambayo haipo. Nilivyoelewa ni kwamba Shule ilikuwepo zamani lakini kwa sasa haipo na eneo la shule limegeuzwa kwa matumizi mengine ila msikiti wa shule umebaki. Sasa alete picha ya shule isiyokuwepo kwa sasa? Labda umjibu kuwa wakati...
  13. dindilichuma

    PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Hivi VETA inaweza kuchukua wanafunzi wangapi kwa mwaka kwa takwimu zao? Wanachuo wangapi wanamaliza kwa mwaka vyuo vikuu na vya kati? Nakumbuka kuna vijana walikosa nafasi VETA kwa kuwa nafasi zilikua zimejaa kipindi cha nyuma kidogo, sinahakika kama VETA imekua na ukubwa huo wakuchukua...
Back
Top Bottom