Recent content by Dinasours

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Umeona wanarudia tu na hakuna Raisi mzuri Kama lowassa na kwa sasa hatutaki Raisi masikini na omba omba hawa hua hawaleti maendeleo Bali ni kuiba tu na kujaza matumbo Yao lakini lowassa Ana uchungu wa kuletea watanzania maendeleo mtakubari lowassa oyeeeeeeeee
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

    Huyo ni wa chadema kabisa na Kadi anayo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Hahahaha Simba chawene atatufaaa kweli
  4. D

    JamiiForums Tanzania Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Balaa msikiti in public office kuonyesha anafanya Kazi sana au
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume Umri 38-43

    Maelezo hayatoshi tuma your good names in FB tuperuzi hahahaha
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

    Hiii kweli kuita Mjusi,Kenge,Mamba pamoja ni shida na hela za stambic itakuwa Ikulu ndani
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Tibaijuka kamdomo kako ndo tatizo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    We have some answers already no need for uchunguzi hell uchunguzi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Nothing new guys even inverstigations will be the same u shouldn't waste our cash again please
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hahahaha uchunguzi wa kodi not else is already gone damn sht
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Gosh this is a bird in nasty
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Yaani kaaja mule mule kulingana na mategemeo ya wengi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kagera: Kilichonifurahisha jana ni wagombea 3 wa CCM kujiuzulu asubuhi

    Tarime big up Seregenti Vipi
  14. D

    JamiiForums Tanzania TV za nchi yetu hazitufai

    Hapana hamjui TV zetu hazina watalaamu na hua hazijue cha kutangaza na ni wazuri sana wa kutangaza matatizo na vurugu kuliko kutangaza mema na neema ukiona hivyo jua hakuna vurugu na watanzania tumekua wastaraabu balaa
Back
Top Bottom