Recent content by dimpo

  1. dimpo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Ubabaishaji, alikuwa bado ana mambo mengi .Hakujielewa
  2. dimpo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    wanafunga na wameanza kulipa wafanyakazi wao takribani 1200
  3. dimpo

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Nimeomwona roma akiwa natembeakama kaumizwa mguu na mkono , je kuna report yoyote ya daktari ,nini hasa chanzo cha kuumia ?je alipelelkwa hospitali mara baaada ya kupatikana maana taarifa ilitolewa kuwa amaepatina na yupo kituo cha polisi
  4. dimpo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Marufuku mchanga kusafirishwa nje ya nchi

    Kila mara ni matamko tu, sisi tushapakia makontena kesho kama kawa tunasafirisha
  5. dimpo

    JamiiForums Tanzania Barrick wameita?

    Wameanza kuita leo interviews j4
  6. dimpo

    JamiiForums Tanzania Bulyanhulu wametoa nafasi za kazi

    African Barrick Gold is an established gold producer operating in Tanzania, and is a subsidiary of Barrick Gold Corp, the world's largest gold producer. African Barrick Gold has 4 producing mines and is the largest African producer listed on the London Stock of Exchange. The Group's current...
  7. dimpo

    JamiiForums Tanzania Bulyanhulu wametoa nafasi za kazi

    Poa mkuu nikitoka job ntalituma maana walilitoa kwenye email za ndani
  8. dimpo

    JamiiForums Tanzania Bulyanhulu wametoa nafasi za kazi

    Yes wametoa graduate environmental officer (post 2) kesho ntalipost humu
Back
Top Bottom