Mambo vipi,Mimi ni MTU wa mungu,ninajibu kulingana na Dini zetu na utafiti wangu WA kumjua mungu.nabase kwenye Dini zote za ibrahimu
,HAKIKA MUNGU YUPO NA KWAKE TUTAREJEA.
Kizazi cha ibrahimu
Ismail-waislamu
Isaka-wakristo
Etc
wewe umebezi kwenye biblia inasemaje na sio VITABU vya Dini...
MUNGU YUPO NA HAKIKA TUTALUDI KWAKE.
SOMA hii muhimu Sana Kwa swali lako.
Mimi ni msomi wa Qur'an,biblia,elimu dunia na elimu zingine.naamini UISLAMU na naamini UKRISTO zote ni Dini na Imani ya kumjua mungu na kuishi kama MUNGU alivyotuamrisha kupitia MITUME WAKE.
JIBU LA SWALI.
Kuna jamaa...
Kama we ni mlevi wa pombe,sgara,bangi,nyeto.lazma vitakuzingua tu.pia kama hauli vizuri.kama ni MTU wa hofu wa mara Kwa mara,stress za maisha na VITU vingine.lazma ukumbwe na hii kitu.
Acha vyote hivyo fanya mazoezi,time management,make sure Kila kitu kinafanyika on time.utapunguza tatizo Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.