Recent content by Dilgent Mmbaga

  1. D

    Ushauri wangu kwa Mzee Samuel Sitta

    Huyu ni Anne Deo ninayemfahamu? Ninategemea utapata kiti maalumu dada yangu, unaipenda sana CHADEMA.
  2. D

    Capstone fellowship inahamia Bahari beach, pembeni ya bahari beach hotel (Ledger plaza)

    Habari wana JF! Ninapenda kuamini kuwa bandiko hili linaruhusiwa mahali hapa na kama sivyo nitapokea maamuzi ya mods. Kwa niaba ya uongozi wa Capstone Fellowship, ninapenda kuwataarifu kuwa Capstone fellowship inahama Chicago beach hall pale tanki bovu kwenda Bahari beach pembeni kidogo ya...
  3. D

    Akili zetu zimeshindwa kufanya angalau hili?

    Mkuu Kizotaka, nina mashaka sana kama kuiondoa CCM pekee ndio jibu la matatizo tuliyonayo. Mimi naona kama tatizo la nchi yetu ni kukosa falsafa ya uzalendo na hii haiwezi kupatikana kwa kuingiza chama kipya madarakani kama suluhisho la pekee. Mifano ya wazi ipo kwenye nchi ambazo vyama...
  4. D

    Akili zetu zimeshindwa kufanya angalau hili?

    Mkuu Mbinguni, nina mashaka sana kama kuiondoa CCM pekee ndio jibu la matatizo tuliyonayo. Mimi naona kama tatizo la nchi yetu ni kukosa falsafa ya uzalendo na hii haiwezi kupatikana kwa kuingiza chama kipya madarakani kama suluhisho la pekee. Mifano ya wazi ipo kwenye nchi ambazo vyama vipya...
  5. D

    Akili zetu zimeshindwa kufanya angalau hili?

    Wazo la Nyerere kwamba tusubirie hadi watu wetu waelimike ndio tuanza kuchimba madini ndio lilikuwa bora ila waliofuatia baada yake wakaweka ubinafsi mbele!
  6. D

    Akili zetu zimeshindwa kufanya angalau hili?

    Habari wana JF! Jambo ambalo bado najaribu kutaka kulielewa ila naona nashindwa ni huu utaratibu wa serikali kutafuta watu kutoka ulaya, mashariki ya mbali, kati na amerika kuja kutusaidia kuzitafuta na kuziweka katika hali inayofaa kutumika rasilimali zetu. Tumepata madini tukaita watu...
  7. D

    Big up STAR TV kwa kurusha live streams za ujio wa Obama kwenye website yenu!

    Wana JF! Nimekuwapo ofisini tangu asubuhi na nilitamani angalau kuona Obama akiwa anakuja Tanzania bila kulazimika kuahirisha shughuli zangu. Nilijaribu kwa muda kuona kama nitaweza kupata site ya kuangalia na hatimaye startvtz.com/startv-live/ ikawa ndio jibu. Asanteni sana kwa kuniwezesha...
  8. D

    Msaada: Wapi hapa Dar naweza kusoma Oracle Database na kufanya proffessional exams?

    Hello JF! Naomba msaada wa kuelekezwa mahali ambapo pako certified kutoa oracle database certification kwa hapa Dar es salaam. Nimefuatilia UCC ila wao wanatoa Database administration (Mysql) only. Please assist with costs associated. Thanks!
  9. D

    Sumu nne zinazoua ubora wa siasa ya nchi yetu!

    SUMU NNE ZINAZOUA UBORA WA SIASA YA NCHI YETU! Tanzania ni nchi iliyosifika na kujizolea umaarufu kwa miaka mingi sana kwa utulivu na kuwa na mfano wa kuigwa katika utaratibu wa kubadilishana uongozi kwa amani.Tumeshuhudia nchi nyingi zikiingia katika machafuko na vita hasa kipindi cha...
  10. D

    Ajali mbaya Sam Nujoma

    Ile dala dala imeniacha ubungo halafu nikapanda ya nyuma yake. Nimeshangaa kuikuta imelala barabarani huku bado inanguruma. Ilikuwa imejaa sana sana na pengine ikawa imeua watu wengi sana.
  11. D

    Waliofeli form four waitia hasara serikali.Pesa iliyotumika yazidi ile ya kuwalipa wabunge kwa mwaka

    Habari wanabodi Ukichukua wastani wa shilingi za kitanzania 100,000/= (very low estimation because i culdn't find the exact amount in our immediate sources) kwa kila mwanafunzi wa shule ya sekondari nchini inayotolewa na serikali kwa mwaka, taifa limepata hasara kubwa kwa sababu ya kufeli kwa...
Back
Top Bottom