usiwe na siasa kila seheme kama lingetokea kwa mama ako au baba yako ukudhubutu kutoa kauli kama hizo za kisiasa za chama mfu kama huna chakuchangia usiharibu mb na chaji yako
juzi hata mwezi haujafika jamaa alisema zanzibar ukatwe umeme na wakule akasema yupo tayar kutumia vibatar lkn kwakuonesha amekerwa na kauli ile lkn jana watu hawa walikua pamoja na kufurahia maisha yao sisi wanyonge huku tunabishana watakata hawakati naomba watanzania wenzangu tusitupe mda wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.