Recent content by Diklopar

  1. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Diamond akwaa skendo nyingine ya kutembea na Mia

    Mia yukoje huyo? Sisi wa huku Katavi hatumjui
  2. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Hahahaha Mkuu sina hakika
  3. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Wewe ulipata ngapi?
  4. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Kuna namna hapo. Unguja nadhani watafute kitu kingine tu haya mambo ya shule waachane nayo
  5. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Wewe ni mgonjwa
  6. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Madaktari, Hivi hamjui kuandika vizuri au mnafanya makusudi?

    Njooni tupite wote round Orthopaedic ward yenye vitanda 90 ndani ya a half an hour then unisaidie kuandika clinical notes, ukiandika vizuri nitakubali kuwa tunapenda kuandika vibaya
  7. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Hili la wolper na manaiki sanga mmh

    Kwamba hakuna mkate mgumu mbele ya chai au? 🙊
  8. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Vijana 3 toka Geita waachiwa huru

    Mkuu umenichekesha sana
  9. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Diamond asitangazwe kama hazina ya taifa?

    Jamii Forums raha sana; where we dare to talk openly. Huyu jamaa ana uwezo wa kujenga hoja, ame-derive vizuri sana point yake. Nasikitika sicho tunachohitaji kama Taifa.
  10. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Le mutuz, haters wengi ni wanaume kuliko ladies

    Wewe ni mtanzania? 👹👹👹
  11. Diklopar

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Mr SOO, Manure na Suffix nawafahamu pia
Back
Top Bottom