Recent content by dihimba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Mkuu waliniambia 160,000 alafu wanipe bidhaa nianze kutembeza wakajalibu kunishawishi uongo WA kiwango cha lami alafu wanavyouzi sasa wanaona mtu kachukia wao wanaendelea kuongea porojo zao eti magar mala nyumba yaani ilimladi visa tu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Yaan ulipotajs edmark umegusa patamu awa jamaa walinifanya nikope pesa ya nauli na chakula kutoka mbagala mpaka masaki wakaniambia wanatoa ajila baada ya kuwauliza hawakunijib majibu yanayoeleweka mzee nikajitupa kufata ajila nilicho kikuta aisee kidogo nianzishe timbwil
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji samaki wabichi

    Habari za mwaka mpya ndugu wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyo sema, Naomba kufahamu upatikanaji wa samaki wabichi waliohifadhiwa kwenye barafu, lengo langu nataka nisafirishe nipeleke mkoni kuwauzia wachuuzi wadogo na mimi nipo hapa Dar. Tafadhali kama kuna mtu anaufahamu wa kujua ni...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Soma vizur nilicho kiandika kisha areply na hautokuta hats sikumoja nalalama kuusu uchumi madayako IPO kijamii zaidi that is why nine abscas kutokana na mawazo yako ila tu nikukumbushe bado haujafikia hatua ya kuniita poor na thinkung capacity Nina mashaka nao(nilivyo sema sio kwa enzi ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Chanika bei nafuu kulingana na mahali kilipo.

    Hahahaha aisee umenichekesha kweli eti muda WA kulipa ada umekalibia
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Hahaha sio kwa enzi ya maguful dada kusubilia mpaka uolewe au uoe be honest hikokitu hakipo na hakita kuwepo
Back
Top Bottom