Tafiti zimeonyesha kuwa asilimia 49 ya wanaume wenye umri wa miaka 40–79 wenye shinikizo la juu la damu wanakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume. Kwa ujumla, asilimia 65 ya wanaume wenye tatizo hili hupoteza angalau sehemu ya uwezo wao wa kijinsia, huku asilimia 45 wakikumbwa na hali mbaya...
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
Kisukari na Nguvu za Kiume
Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
Njia ya Asili
Baada ya chakula cha jioni (saa 2–3 usiku), andaa juisi nzito ya papai na karoti usiongeze maji kabisa kwa sababu papai tayari lina maji ya kutosha.
Kunywa glasi moja kubwa mara baada ya mlo wa jioni.
Faida zake ni:
Husaidia mmeng’enyo wa chakula tumboni 🥗
Hufanya usiku wako...
Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini
Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku?
Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe mwanaume au mwanamke, unaweza kuona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi.
Kinywaji cha Asubuhi...
Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo.
Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa.
Faida kwa...
Je, umewahi kuhisi uvimbe au maumivu kwenye kinena, tumbo au kitovu? Unaweza kudhani ni kawaida, lakini ukweli ni kwamba dalili hizi mara nyingi huashiria ugonjwa wa ngiri — na kama hautatibiwa mapema, unaweza kuathiri nguvu zako za kiume na hata maisha yako ya ndoa.
Kwa nini ngiri inaweza...
1. Sababu za Kisaikolojia (70%)
Wasiwasi na Hofu (Anxiety): Hofu ya kumridhisha mpenzi wako au mashaka kuhusu uwezo wako wa kudumu wakati wa tendo la ndoa hupelekea kumaliza mapema.
Msongo wa Mawazo (Stress): Shida za kifedha, kazi au familia huathiri sana uwezo wako wa kudumu kitandani.
Aibu...
Hedhi ni Nini Haswa?
Hedhi ni damu inayotoka kutokana na ukuta wa ndani ya mfuko wa mimba (uterus) ambao huandaliwa kila mwezi kwa ajili ya ujauzito. Endapo mimba haijatungwa, ukuta huo hubomoka na kutoka kama damu ya hedhi.
Wanawake huanza kuona hedhi wakati wa kubalehe (puberty) kati ya miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.