Recent content by Digital base

  1. Digital base

    Nafasi ya kazi – Wakala wa mauzo (FULL-TIME)

    Binafsi nakushukuru sana Dr Said kwa mafunzo yako na maarifa yaliyopo kwenye kozi zako kwakuwa mimi ni mwanafunzi niliyejiunga na kozi zako mwaka 2022 nilikuwa chini ya Coach Ema kipindi hicho Darasa letu na kina Imanuel Mnyongo,Omary Gubi,Elia Sereka,Madam Husna wa Zanzibar,Ahazy Nges na...
  2. Digital base

    Wanahitajika watu 10 wa mauzo na masoko kwaajili ya usambazaji wa bidhaa za Usafi (Tiles Cleaner) katika kampuni ya Max Pro Limietd

    Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam. Max Pro Ltd...
  3. Digital base

    Tengeneza kipato cha Tsh. 500,000 mpaka Tsh. 1,500,000 kwakujiajiri katika biashara hii

    Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3 mfululizo na kwa mafanikio makubwa Kama utaamua kuchukua hatua na kulifanyia kazi basi utajikomboa...
  4. Digital base

    Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Nitumie mawasiliano yako PM
  5. Digital base

    Kwa mtaji wa million 1 nifanye biashara gani?

    Kama unahitaji kufanikiwa kwa haraka kwakutengeneza faida kubwa ukiwa kama mjasiriamali mdogo jikite katika biashara za kutatua changamoto za watu tunaziita biashara za kitalaam (Expert Business) Aina ya biashara hizi hazihitaji mtaji mkubwa wa pesa badala yake mtaji wake mkubwa ni suluhisho...
  6. Digital base

    Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Zipo njia nyingi unazoweza kutumia ili kutengeneza kipato kupitia mtandao na baadhi ya njia hizo ni kuuza ujuzi na maarifa uliyo nayo mtandaoni Unauzaje ujuzi wako ? Unatakiwa kwanza ujue jinsi ya kujiposition kwenye soko kupitia social media marketing Kile kitu unachokijua ni biashara tosha...
  7. Digital base

    Sales and Marketing Officer at infinity brands Tanzania Limited

    Job Overview SALES AND MARKETING OFFICER– INFINITY BRANDS TANZANIA LIMITED Infinity Brands Tanzania Limited- is a Company offers online business growth training,capital sources and development for Employed,unemployed business owners,small entrepreneurs,retired,university students and graduates...
  8. Digital base

    Nauza vyombo vya ndani nahama mkoa

    Hello habari ya leo wadau , Mimi naishi Dar Es Salaam Kimara Temboni na sasa nahama kikazi kwenda mkoa mwingine Nauza vyombo vyote vya ndani ambapo katika vyombo hivyo nna TV Inch 32 kampuni ya Ailyons na king'amuzi Cha Azam cha Dish vyote Tsh.270,000 Sofa za watu wawili mbili zote...
  9. Digital base

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Hello Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke Umri wangu ni miaka 32 Rangi yangu maji ya kunde Ni mwembamba na mrefu wa wastani mwenye mwili wa kawaida Elimu yangu kidato cha nne Shughuri yangu ni Mjasiriamali ambaye pia nna taasisi yangu ya mafunzo ya kujenga biashara mtandaoni nnayo...
Back
Top Bottom