Recent content by Digger boniphace

  1. D

    JamiiForums 5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

    Mimi mwenyewe na Mimi ndiye....ikiwa ndani ya sentesi ya yaweza kuwa kwa mfano. Wee!!! Mimi mwenyewe na Mimi ndiye niliyekutumia pesa hizo,iweje Leo unasema hukuzipata.
  2. D

    JamiiForums Imeandaliwa na kamanda wa CHADEMA mtiifu, isomwe na wanaharakati wote mitandaoni

    Huyu akimwaga mboga lazima yule atamwaga ugali..
  3. D

    JamiiForums Jengo la Club Bilicanas limevunjwa.....

    Ingekuwa inahamishika
  4. D

    JamiiForums Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    Bidhaa inayo buniwa na kutengenezwa hunadiwa kupitia trade mark ya kampuni iliko tokea ..mfano Simu..Gari..Nguo..Viatu..lazima panabadikwa logo ya kampuni vilipo tengenezwa yaan made in China ..Japan Hong Kong na kadhalika.Hivyo matunda yenye radha tofauti tofauti..embe Nana's.chungwa.ndizi...
Back
Top Bottom