Recent content by didda289

  1. didda289

    Ufahamu juu ya sheria

    Mkataba waweza kuwa wa kuandikwa au ww maneno na zote mbili zinakubalika kisheria ikiwa tu zimefuata vigezo vyote vya mikataba halali. Hata hivyo kuna baadhi ya mikataba ni sharti iwekwe katika maandishi ndipo ipate nguvu za kisheria na moja wapo ya mikataba hiyo ni ile inayohusisha ununuzi ama...
  2. didda289

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Habari zenu wadau wa JF law forum!! kwa yeyote aliye na soft copy ya Gn no.174 of 2003 tafadhali naomba anisaidie. Katangulia shukrani
  3. didda289

    Msaada, naomba usiache kupita hapa tafadhali

    duuh!! katangulia yeye/wao na sisi tuko nyuma yake/yao
  4. didda289

    Naomba Msaada kuhusu kuingia Mkataba Ardhi Kimakosa.

    hayo makubaliano yanaukakasi lakini ngoja niguse haya machache 1. km wamiliki wa mali ni wawili na wanataka kuandaa wosia kwa pamoja hiyo itakuwa ni joint will na inaweza kubadilishwa contents zake ikiwa wausia wote bado wako hai 2.ikiwa mtoa wosia alifanya hivyo pasipo kujua nini afanyacho ie...
  5. didda289

    Msaada, naomba usiache kupita hapa tafadhali

    Pole ndg!! Kwa kupitia post #3 nahisi jibu umelipata na liko wazi yn vuta subira mpaka mama ateuliwe na mahakama husika kuwa msimamizi wa mirathi na km ni kuhusu huyo jamaa anadai ni vema mkatambua kua mdaiwa kwa sasa ni marehemu hivyo ni lazima taratibu zote za mirathi zifanyike ndipo kila mtu...
  6. didda289

    Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    ni kweli wakati mwingine km ukiona kua km akirudisha hiyo pesa ya pango unaweza kupata mahali pengine na kuendesha biashara yako vzr,,,,,bs achana na ishu za mahakamani,,,,
  7. didda289

    Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    pole sana ndugu!!! Ikiwa mlifanya makubaliano ya namna yeyote ile na ikiwa hayakutekelezwa na upande mwingine(innocent) ukapata hasara basi yapo mambo kadha ya kujiuliza 1. Je makubaliano hayo yanakizi vigezo vya kuwa makubaliano halali kisheria? 2. km 1 hapo juu ni ndiyo, je kutotekelezwa kwa...
  8. didda289

    Msaada: Nina kesi yangu ya madai natafuta Wakili

    Mawakili wapo tu kimsingi ni kujua wewe haswaa uku wapi?
  9. didda289

    Power of Attorney ina umuhimu gani?

    kimsingi baada ya kupata PO.O.A uuk Kimsingi baada ya kupata Power of attorney ni ikiwa kuingia ktk mikataba ni mojawapo ya Mamlaka aliyopewa mhusika basi kila atakachofanya maadamu kiwe within the given Power bs ni halali kisheria
  10. didda289

    Power of Attorney ina umuhimu gani?

    Power of attorneys(nguvu ya uwakilishi) ni nyaraka inayokasimisha Mamlaka ya kisheria kwa mtu aliyechaguliwa na mkasimishaji ili watende matendo yote yenye kuhusiana na ukasimishaji huo kwa niaba ya ukasimishaji. Mambo ya kuzingatia; 1. Nyaraka hii ni ya kisheria hivyo ni lazima izingatie...
Back
Top Bottom