Kero : TANESCO. Nimenunua umeme tarehe 30/11/2024 Jumamosi, nikaipata unit 73.7 kabla ya kuziweka nilikuwa na units 345. badala ya kuongezeka na kufika 418.7 zilikuwa 117.6. Nilipiga simu huduma kwa wateja nikaambiwa litashughulikiwa, baada ya muda mfupi ilikuja meseji kuniarifu kuwa tatizo...
Ukweli utabaki kuwa hivyo. Mwaka 2003 Kagera ilikuwa na shule za sekondari jumla 19 lakini Kilimanjaro ilikuwa na 120. Ukilinganisha mfano kila shule ikipeleka mwanafunzi 1 Chuo Kikuu , kumbuka wachaga wengine wamesambaa mikoa yote, halafu ikatangazwa ajira ukakuta utofauti mkubwa ni kulingana...
Mimi mkazi wa eneo la Ludete, karibu na shule ya msingi Ludete. Na. ya simu ni 0673364534. Karibu na shule juu kama mita 40 kuna jengo la kanisa jipya. Juu ya kanisa hilo nyumba ya 3 ndiyo nyumbani. Nipo mkoa wa Geita, wilaya ya Geita, Tarafa ya Katoro, Kata ya Ludete, kitongoji cha Stamico...
Kuna nguzo ya Umeme karibu na shule ya msingi Ludete Kata ya Katoro wilaya Geita imekatika karibu kabisa na uwanja wa shule. Ni zaidi ya mwezi mmoja mimi kama mwananchi nilipiga simu kutoa taarifa nikaambiwa kuna watu wengine wameshatoa taarifa. Kuna watumishi nina namba zao nilipiga picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.