TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri


TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,615
Likes
567
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,615 567 280
tanzania_electric_supply_company-tanesco-_logo-png.498143
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422


7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786


Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,615
Likes
567
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,615 567 280
Mimi nina tatizo nimefungiwa umeme wa rea ijumaa iliyopita nimkapewa unit 9 saiv zimeisha nimewaomba tanesco mkoa niliopo wanisajilie mita ili niweze kununua umeme wananisumbua tu kila muda wanasema wanafatilia cjui nifanye nini ili niweze kutumia huduma ya kununua luku niondokane na giza
Namba ya simu

Namba ya mita

Wilaya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soka255

soka255

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Messages
873
Likes
699
Points
180
soka255

soka255

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2018
873 699 180
mita:43131643769
kiasi:5000
namba:0762809174
trh:06/02/19
naomba umeme sijapata
 
S

Salama salimini

Senior Member
Joined
Dec 2, 2013
Messages
191
Likes
1
Points
35
S

Salama salimini

Senior Member
Joined Dec 2, 2013
191 1 35
Nilichomeka kwenye umeme remote ili kuingiza unit ikapiga shoti.

Ikotoa moshi.
Baadae ikawa haipokei umeme kabisa na wala betri haikubali.

Nikaenda kuripoti physically ofisi za Kigamboni wakanambia hakunaga spea ikifa ndo ishatoka..

Wakanielekeza namna ya kutumia remote ya jirani ndo nnayotumia ila inachosha.
Na ni kero.

Naomba ufafanuzi kutoka kwenu kupitia jukwaa hili ili na wengine wajifunze.

Majibu yatanipa muongozo wa kuuliza swali au ombi la pili.
Asante.Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,615
Likes
567
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,615 567 280
Nilichomeka kwenye umeme remote ili kuingiza unit ikapiga shoti.

Ikotoa moshi.
Baadae ikawa haipokei umeme kabisa na wala betri haikubali.

Nikaenda kuripoti physically ofisi za Kigamboni wakanambia hakunaga spea ikifa ndo ishatoka..

Wakanielekeza namna ya kutumia remote ya jirani ndo nnayotumia ila inachosha.
Na ni kero.

Naomba ufafanuzi kutoka kwenu kupitia jukwaa hili ili na wengine wajifunze.

Majibu yatanipa muongozo wa kuuliza swali au ombi la pili.
Asante.Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba namba yako.ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D

Didas N Joseph

Member
Joined
Mar 16, 2018
Messages
11
Likes
1
Points
5
D

Didas N Joseph

Member
Joined Mar 16, 2018
11 1 5
Mimi mkazi wa eneo la Ludete, karibu na shule ya msingi Ludete. Na. ya simu ni 0673364534. Karibu na shule juu kama mita 40 kuna jengo la kanisa jipya. Juu ya kanisa hilo nyumba ya 3 ndiyo nyumbani. Nipo mkoa wa Geita, wilaya ya Geita, Tarafa ya Katoro, Kata ya Ludete, kitongoji cha Stamico. Mita na. 24219820909. Baada ya utangulizi huo shida ni kama ifuatavyo : tarehe 27/01/2019 eneo la Ludete kwangu na kwa baadhi ya majirani baada umeme kurudi jioni tulijikuta tupo gizani waliotuzunguka wengine wanao umeme. Asubuhi ya 28/01/2019 tulianza kuhangaika kwani eneo lilikuwa kubwa hadi Katoro madukani. Nilipoona kwenye simu namba imehifadhiwa TANESCO dharura nikapiga kumbe Urambo Tabora. Nikaambiwa tatizo hutokea wakati unaweka salio. Nikapewa maelekezo ya kufuata bado shida haikwisha. Baada ya kugundua nawasiliana na Urambo nilitafuta na. ya Geita nikawasiliana nao wakanipa maelekezo tena kama imejitokeza hivyo ninunue umeme nikafanya hivyo ila kabla ya kuuweka hali ilirudi kawaida. Kwa kuwa nilikuwa kwenye punguzo nikautunza hadi tarehe 5/2/2019 kuuweka zikaja unit kidogo. Leo 11/02/2019 nikapiga Geita kuhusiana na jinsi ilivyotokea nikajibiwa kuwa tatizo litakuwa kununua umeme mara 2 katika mwezi mmoja system itakuwa imeniondoa. Nikaambiwa hakuna uwezekano wa kurejesha katika punguzo. Ninachoomba kuuliza au kama nilivyoeleza hapo juu nilitekeleza maelekezo ya ofisi kununua umeme na japo sikuutumia hadi tarehe niliyozoea kuweka naambiwa nimekosea na hakuna uwezekano. Nawasilisha nikiomba ufumbuzi wa tatizo la kurejeshwa kwenye punguzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,615
Likes
567
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,615 567 280
Mimi mkazi wa eneo la Ludete, karibu na shule ya msingi Ludete. Na. ya simu ni 0673364534. Karibu na shule juu kama mita 40 kuna jengo la kanisa jipya. Juu ya kanisa hilo nyumba ya 3 ndiyo nyumbani. Nipo mkoa wa Geita, wilaya ya Geita, Tarafa ya Katoro, Kata ya Ludete, kitongoji cha Stamico. Mita na. 24219820909. Baada ya utangulizi huo shida ni kama ifuatavyo : tarehe 27/01/2019 eneo la Ludete kwangu na kwa baadhi ya majirani baada umeme kurudi jioni tulijikuta tupo gizani waliotuzunguka wengine wanao umeme. Asubuhi ya 28/01/2019 tulianza kuhangaika kwani eneo lilikuwa kubwa hadi Katoro madukani. Nilipoona kwenye simu namba imehifadhiwa TANESCO dharura nikapiga kumbe Urambo Tabora. Nikaambiwa tatizo hutokea wakati unaweka salio. Nikapewa maelekezo ya kufuata bado shida haikwisha. Baada ya kugundua nawasiliana na Urambo nilitafuta na. ya Geita nikawasiliana nao wakanipa maelekezo tena kama imejitokeza hivyo ninunue umeme nikafanya hivyo ila kabla ya kuuweka hali ilirudi kawaida. Kwa kuwa nilikuwa kwenye punguzo nikautunza hadi tarehe 5/2/2019 kuuweka zikaja unit kidogo. Leo 11/02/2019 nikapiga Geita kuhusiana na jinsi ilivyotokea nikajibiwa kuwa tatizo litakuwa kununua umeme mara 2 katika mwezi mmoja system itakuwa imeniondoa. Nikaambiwa hakuna uwezekano wa kurejesha katika punguzo. Ninachoomba kuuliza au kama nilivyoeleza hapo juu nilitekeleza maelekezo ya ofisi kununua umeme na japo sikuutumia hadi tarehe niliyozoea kuweka naambiwa nimekosea na hakuna uwezekano. Nawasilisha nikiomba ufumbuzi wa tatizo la kurejeshwa kwenye punguzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea maelezo yako tunayapitia na kukupatia maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,615
Likes
567
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,615 567 280
D

Didas N Joseph

Member
Joined
Mar 16, 2018
Messages
11
Likes
1
Points
5
D

Didas N Joseph

Member
Joined Mar 16, 2018
11 1 5
P

pagalwema

Member
Joined
Sep 17, 2018
Messages
35
Likes
9
Points
15
P

pagalwema

Member
Joined Sep 17, 2018
35 9 15
Kuna laini yetu imepata hitilafu wataalamu wetu wanaifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeunga unga nika pata pesa ya wayaring huduma ya nguzo ilikuwa mbali ilihitajika nguzo2 ili Umeme ufike kwangu nika vuta subila baada miaka kadhaa kupita jirani akapata huduma hivyo ikawa jirani na kwangu kuipata huduma hiyo
Nikashawishika nika uzaa baadhi ya sehem ya kiwanja changu ili niweze kupata huduma ya Umeme
Nikafanikiwa kuuza nikaenda tanesko kufuata taratibu zote kuanzia kuchukua form mpaka na kujaza
Nikaambiwa nitapewa jibu ilichukua miez 2 na dhaid kupewa jibu kwamba natakiwa kulipia kiasi cha laki 3 naa ndio niweze kupata huduma ya Umeme
Wakati huo pesa niliyouza kiwanja nilishailia ubwabwa si unajua hela inakaa kwenye hela na sina nafasi tena ya kupata pesa kama ile jee upo uwezekano Wa kulipa kidogo kidogo?
Kwenye ghalama nilizojumulishiwa na nguzo ikiwemo je nguzu hii itakuwa Mali yangu au ya tanesko?
Ahsante naomba ufafanuzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,300
Likes
2,657
Points
280
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,300 2,657 280

Forum statistics

Threads 1,262,329
Members 485,560
Posts 30,120,686