Recent content by Didack3

  1. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda akerwa na watu wanaoikosoa serikali

    minadhani pinda angekua komediani ingemfaa zaidi.hv haoni awamu hii ya 4 ni ouzo mtu.nini cha maana kinafanyika zaidi ya propaganda tu.hv mnafikiri bado mnaweza kutuchezea akili kama nyerere jamani ss tumeelevuka,na tunaendelea mkiongea mjipange.bora awamu zilizopita.mnaendesha nchi kishkaji.ila...
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya 'Love Connect'?

    hiyo ni kweli kabisa hata mie inanikera sana,kwani duniani hapa kuna matatizo mengi mtu unaitaji kupata ushauri wa watu tofauti.matokeo yake mtu anakucrash kwa mineno ya kuumiza nafsi sana.jamani tutumie mtandao kwa manufaa ni kweli wapo watu wengi wanaitaji wapate wenza wema hivyo anahangaika...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mjane

    nashindwa kuwaelewa baadhi ya wanajamii,hv mmejiunga jamii ili mkashifu watu kwa hoja zao au tusaidiane mawazo na ushauri.?nadhani tuwe waungwana kujali hisia za mtu si kashfa na kebehi.haina maana.tupeane ushauli wa maana.
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

    Ur wrong hata kwenye msiba,au vita watu wanakutana na kuwa wapenzi.sembuse kwenye jamii mtazamo wako sijaukubali.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

    Usijali utapa aliye mbora kwako na mungu pia,muombe yy aliye juu atakupa lililo jema.usiumizwe na maneno makali ya baadhi ya wanajamii.
Back
Top Bottom