Unakwama maan sio kwel uyasemayo bcoz sisi hatufatilii simuliz na saut zisizo na habar ila tunachofatilia kwa millard ayo n habar zeny uhakika na uhalisia ndan yake pia kuna hizo simuliz na saut tofaut na hao SNS wanatoa simulizi ambazo hazina impact kweny tasnia ya habar
frends habr zenu Leo mapema kymetangazwa kuanzishwa kwa kampun ya kutengeneza simu , ipad na computer kwa ushirikiano wa kampun ya touhmate kutoka Japan na Reginald meng sasa wapendwa kampun hyo itaanza kaz baad ya miez mitatu sasa nilichokua naomba kufaham kutoka kwen n jinsi gan mtu anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.